Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Vijana wa siku hizi bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna namna ameanza kumegwa nje maana kama ulikuwa mbali haiingii akilini aweke kijiti maana mimba haiingii pasipo kukutana na mwanaume.Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Huyo uliyelala nae na hukuwa na uwezo hata wa kumuwekea mkono alikuona mwanamke mwenzake a.k.a PAPAI.Siyo kila mwanamke ni malaya... Wengine tunawadhania tu kuwa malaya kulingana na muonekano wao kwetu na si uhalisia wao.
Mfano nishawahi kuwa na rafiki wa kike nikiwa chuo kiasi kwamba km muda ukienda sana anaweza kulala geto na tusifanye lolote. Lakini kila mdau alikuwa anajua mi namkula yule mdada wakati haijawahi tokea hata mara moja.
Muonekano wetu (kulala pamoja=lazima mnakulana) kwa marafiki zetu ulikuwa ni tofauti na uhalisia wenyewe.
Inatakiwa kila mtu umchukulie ktk uhalisia wake na sio kuendeshwa na hisia
Sawa sawa dogoUsiwe unakoment post za vitu vidogox2. zipo post za vitu vikubwa kwa watu kama nyie msiokufa mapema wenye 527 yrs
Dogo ww sema ukweli ww ni Either unaKIBAMIA au DOMO ZEGE a.k.a NYUKI WA MASHINENI mixer JOKA LA KIBISA.Kuomba mchezo kwa kila mdada utakayekuwa na urafiki naye hakukufanyi ww uonekane rijali... Zaidizaidi utaonekana malaya km malaya wengine
Tujifunze kufanya kila kitu kwa kiasi, itatusaidia sana kuliko kuparamia kila kilicho mbele yako!
Vizur sana bro,,,,,Yaani mwanaume kama mpaka anafikia kuoa kama hawezi kujizuia au kutumia kalenda au kuchomoa hapaswi kupewa mke,,,,wavulana wa sikuizi wanajiendekeza zana.80% ya wanawake wanafanya vitu kwasababu ya kushauriwa na marafiki zao mi wa kwangu alitaka kuleta huo upuuzi nikamwambia No tunatumia calendar and we are safe tuna miezi Saba tangia mungu atubariki mtoto.
Hyo ni kawaida mzee,kawaida sana kutokana na nasaha wanazopewaga klinic,ili kuepusha mimba zisizotarajiwa,soo just cool.Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Mkeo ana msambwanda?Rejerea mada juu.

Mmmh, ngoja nipite kimyakimya. Sijui mnawatoaga wapi wanawake wa hivyo. Hakika umepata mke mwema.
Yaani Mimi mwili wa kwangu, kizazi cha kwangu, nikae nampa mtoto wa mtu maelezo(mume wangu baba fatu, ulipoondoka mi niliweka kijiti) Hahahaaaaa kweli mwanaume ukimchekea, siku utalaumiwa ulijamba bila kumshirikisha.
Sawa dada.Ameshasahau kumbe mi nlilelewa na mamaako chumbani, kwa hyo huku kulialia alinifundisha yeye.
Mkuu pole sana, ukirudi hakikisha unampima kwanza usiingie peku.. until further noticeRejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Very Good Question🤝Ulimkuta Bikra?