Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

Yaani yowe lote ni kijiti tuu au una mengine? Halafu kuoa au kuolewa haimanishi kushikiana akili. Mueleweshe tena kwa hoja. Eti "Nikiwa kama victim" Really??? Siku aki ku surprise na zawadi ya brand new ist si utakufa wewe!
 
KAMA HAMNA MISULI YA KUWAONGOZA HAWA VIUMBE WA KUITWA WANAWAKE MUWE MNABAKI SINGLE,,,GADAMIT!!!!

NYIE NDO WALE WANAWAKE WASHAWAPANDA KICHWANI AKI MR. YES EVERY THING😂😂😂😂"I LUV MY WIFE"

MWANAMKE ULIYEMTOLEA MAHARI LAZIMA ATAMBUE KILA SIKU KUWA WW NI KAMA RAIS NA YEYE NI MUAJIRIWA WAKO NA YEYE NDO YUKO ANSWEARABLE KWAKO NA SIO VINGINEVYO.

MWANAUME UKIANZA KUPOTEZA MAMLAKA YAKO JUA UTAWALA WAKO UMEFIKA KIKOMO,TUPA TAULO KISHA TOKA NJE KATAFUTE KOLONI LINGINE JIPYA UTAWALE UPYA.

BAADAE AKIKITOA MIZUNGUKO YA HEDHI INAKUWA TAFRANI MIMBA HAZIKAMATI 😂😂😂😂😂ENDELEENI KULIPA MAHARI NA KUTOKUELEWA NAFASI ZENU KATIKA NDOA. BE A MAN!!! ACHA KUWA SOFTSOFT,,,,,,GARAMA ZOTE ZA KWENDA KWA SPECIALIST WAKATI MNATAFUTA MTOTO WA PILI UTALIPA WW ILA KIJITI ALIWEKA YEYE KWA UTASHI WAKE🤗

UNAMEGEWA APPLE KISHKAJI NA YULE BODABODA WAKE,,,WW ENDELEA KUKAZA KICHWA!!!

#KATAA NDOA 3-0 MABRO LIALIA!!!;
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Kuna namna ameanza kumegwa nje maana kama ulikuwa mbali haiingii akilini aweke kijiti maana mimba haiingii pasipo kukutana na mwanaume.

Fanya uchunguzi wako utagundua kitu kisicho cha kawaida kwa mke.
 
Siyo kila mwanamke ni malaya... Wengine tunawadhania tu kuwa malaya kulingana na muonekano wao kwetu na si uhalisia wao.

Mfano nishawahi kuwa na rafiki wa kike nikiwa chuo kiasi kwamba km muda ukienda sana anaweza kulala geto na tusifanye lolote. Lakini kila mdau alikuwa anajua mi namkula yule mdada wakati haijawahi tokea hata mara moja.

Muonekano wetu (kulala pamoja=lazima mnakulana) kwa marafiki zetu ulikuwa ni tofauti na uhalisia wenyewe.

Inatakiwa kila mtu umchukulie ktk uhalisia wake na sio kuendeshwa na hisia
Huyo uliyelala nae na hukuwa na uwezo hata wa kumuwekea mkono alikuona mwanamke mwenzake a.k.a PAPAI.

Labda nikufahamishe tu kuwa hakuna urafiki kati ya simba na swala.

Vijana mko lainilaini sana skuizi,,,,how does this even come true,madogo mnakula aina gani za vyakula kiasi kwamba hormone za kiume zinakuwa low to this extent??!!!!!
 
Kuomba mchezo kwa kila mdada utakayekuwa na urafiki naye hakukufanyi ww uonekane rijali... Zaidizaidi utaonekana malaya km malaya wengine

Tujifunze kufanya kila kitu kwa kiasi, itatusaidia sana kuliko kuparamia kila kilicho mbele yako!
Dogo ww sema ukweli ww ni Either unaKIBAMIA au DOMO ZEGE a.k.a NYUKI WA MASHINENI mixer JOKA LA KIBISA.

Hakuna utetezi utautoa hapa kijiwe nongwa wakulugwa tutakuelewa.

Nimemwagiza katibu akupe barua ya onyo na copy ya katiba ya UANAUME fika ofisi upate usaidizi🙏
 
Heri uache shetani apite mbali, ukiyafuatilia pengine yatakuumiza zaidi
 
80% ya wanawake wanafanya vitu kwasababu ya kushauriwa na marafiki zao mi wa kwangu alitaka kuleta huo upuuzi nikamwambia No tunatumia calendar and we are safe tuna miezi Saba tangia mungu atubariki mtoto.
Vizur sana bro,,,,,Yaani mwanaume kama mpaka anafikia kuoa kama hawezi kujizuia au kutumia kalenda au kuchomoa hapaswi kupewa mke,,,,wavulana wa sikuizi wanajiendekeza zana.

Mwanaume unatakiwa unakuwa mafia kiasi kwamba unaujua mzunguko wa mwanamke wako mpaka yeye mwenyew anaogopa!!!
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Hyo ni kawaida mzee,kawaida sana kutokana na nasaha wanazopewaga klinic,ili kuepusha mimba zisizotarajiwa,soo just cool.
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Mkeo ana msambwanda?
 
Mmmh, ngoja nipite kimyakimya. Sijui mnawatoaga wapi wanawake wa hivyo. Hakika umepata mke mwema.

Yaani Mimi mwili wa kwangu, kizazi cha kwangu, nikae nampa mtoto wa mtu maelezo(mume wangu baba fatu, ulipoondoka mi niliweka kijiti) Hahahaaaaa kweli mwanaume ukimchekea, siku utalaumiwa ulijamba bila kumshirikisha.
 
MMEO KAPATA MKE MWEMA.
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Mkuu pole sana, ukirudi hakikisha unampima kwanza usiingie peku.. until further notice
 
Usiwe na stress za kujitafutia bure bure tu, huenda aliweka kwa nia njema tu kwa vile mna mtoto mdogo. Ingekuwa anacheat asingekwambia ukweli angekudanganya kuwa kaweka wiki iliyopita.
Ikiwa ni msaliti utamuona tu, wala hataacha hata ukirudi.
mweyewe ushasema ni mke mzuri sasa unataka nini tena?
 
Back
Top Bottom