Mke wangu amezidisha dharau

Mda mwengine unajitakia mwenyewe bro kwanza ilikuaje ata ukaruhusu awe na mawasiliano na ex wake?

Jengine iyo kumtuma tuma dukan uko ni kumchoresha mke wako kama kuna uwezekano nenda mwenyewe.
Mhhh hapo kwenye aende mwenyewe, unampoteza!
 
Haya yote ya nini chief? Ya nini kuhangaika na mtu mzima kiasi hicho? Option pekee hapo km bado anampenda x wake amuandikie talaka aende kwa huyo x wake
 
1. Either Hamuhudumiii ipasavyo or hamkuni vizuri.

2. Anamuendekeza
3.Mwanamke amemzidi kipato

Kweli hayanaga fomula
Wanawake wana tabia ya kutulinganisha, akiona hauna kigezo flani ambayo anaipenda, anaamua kurudi kwa X.
 
Mpaka hapo jibu unalo ila unajidanganya moyoni kwa kisingizio cha mtoto? Elewa mtoto na mke ni vitu viwili tofauti

Nenda kasome
1 Wakorintho 7:6-8 na 7:27-28

Fuata kile moyo unakwambia, ikiwa haujui kusoma, je hata kutizama picha kunakushinda?
 
" ..........aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe..............."

πŸ‘†πŸ»πŸ‘†πŸ»πŸ‘†πŸ»πŸ‘†πŸ» kosa la kiufundi
 
Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…