Mke wangu amezidisha dharau

Bado mapema, ndoa nyingi huanza kutulia baada ya kupata watoto watatu au baada ya miaka 10
 
udhaifu unaouonesha ndo anatumia kukuadhibu......

mwanamke akishaanza kuchepuka achana naye....usalama wako unakuwa mdogo sana.....lolote anaweza kukufanyia
 
Tulia broo ukitaka kufariki endelea kuumizwa kichwa na huyo kiumbe ,kosa Ni kuanza kumfatilia mara kukagua simu utajiumiza Fanya mambo yako mchukulie kama hayupo lasivyo utateseka
 
Sasa hapo unaomba ushauri tukuambie uvumilie au?? ACHA UFALA, Mwanaume ndani ya nyumba
 
Mwanamke asiyekuheshimu sio wa kumpeleka mahali mkaongee, ni kumkatia attention hapohapo hata km ni mke
 
Ulioa mke wa mtu mkuu 🤣🤣
Kaeni mjadiliane , muulize kama anataka uhuru mruhusu aende tu ! Usiache kutunza mtoto maana ugomvi wenu haumuhusu mtoto.
Hivi hii inakuwaje? Inawakumba wengi naona!

Kuna mshikaji wangu ndani ya mwaka 1 tu alitaka kumuacha mke wake.
 
Mwanamke asiyekuheshimu sio wa kumpeleka mahali mkaongee, ni kumkatia attention hapohapo hata km ni mke
Kuna sababu za kutoheshimika na makosa unaweza kua umeyafanya wewe hadi kutengeneza hizo roopholes za kutoheshimika.
 
Nabet......Mleta mada amempenda sana mkewe na mkewe anajua,mleta mada ana huruma sana,mke anajua mleta mada anapiga kamoya kila siku la mwisho mleta mada hajawai kuchepuka hata kwa bahati mbaya.
 
Jamaa hajui kutumia ukuni Vizuri. Mwanamke ukimtomba Vizuri hawezi kufanya hayo mawenge. Jifinze kutembeza ukuni wako vzr viungo vyake vipate takishishi ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…