Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mapema, ndoa nyingi huanza kutulia baada ya kupata watoto watatu au baada ya miaka 10Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
Uongo HUO uongo HUO, HUO ni uongooooAchana naye huyo akajifunze ..!
njoo kwangu upumzike mwaya!
we jamaa umenichekesha sanaMjumbe wetu hawa vijana acha wachapike watakuja tu kwenye vikao wenyewe🤣🤣🤣🤣.Na tarehe ya kikao usiwaambie watajua tu.
Tulia broo ukitaka kufariki endelea kuumizwa kichwa na huyo kiumbe ,kosa Ni kuanza kumfatilia mara kukagua simu utajiumiza Fanya mambo yako mchukulie kama hayupo lasivyo utatesekaNiende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
Sasa hapo unaomba ushauri tukuambie uvumilie au?? ACHA UFALA, Mwanaume ndani ya nyumbaNiende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
tangazoAchana naye huyo akajifunze ..!
njoo kwangu upumzike mwaya!
DaaaahMliooa muwage mnapeana wiki kila mmoja akachepuke ili ndani ya nyumba muishi kwa amani
Maamuzi ya talaka sio rahisi, ni yeye mwenyewe ataona sasa yafaa talakaHuu mda uliotumia kuandika Uzi ulitakiwa uutumie kuandika talaka
Mwanamke asiyekuheshimu sio wa kumpeleka mahali mkaongee, ni kumkatia attention hapohapo hata km ni mkeWewe umeshajichunguza na kujiona huna tatizo??
Ujue wanawake wanachukua muda mrefu mpaka kumchana makavu mtu tofauti na wanaume, wewe unamchana kua ana kiburi na mambo kama hayo anakausha tu, si ajabu na wewe una mabalaa yako.
Nenda nae mahali mtulie nae atoe lilo moyoni mwake.
Hivi hii inakuwaje? Inawakumba wengi naona!Ulioa mke wa mtu mkuu 🤣🤣
Kaeni mjadiliane , muulize kama anataka uhuru mruhusu aende tu ! Usiache kutunza mtoto maana ugomvi wenu haumuhusu mtoto.
Kuna sababu za kutoheshimika na makosa unaweza kua umeyafanya wewe hadi kutengeneza hizo roopholes za kutoheshimika.Mwanamke asiyekuheshimu sio wa kumpeleka mahali mkaongee, ni kumkatia attention hapohapo hata km ni mke