Mke wangu ana kadi mbili za kliniki, moja jina langu, lingine la bwana mwingine!

Mke wangu ana kadi mbili za kliniki, moja jina langu, lingine la bwana mwingine!

Mapengo 17

Mkuu pole sana ni dhahiri kabisa kuwa kukaa kwenu muda mrefu bila kupata mtoto kulimpelekea mke wako asiwe muaminifu kwenye ndoa na kuamua kutafuta njia mbadala,unahitaji utulivu wa hali ya juu hasa ukiwa na mkeo ili asigundue unamchunguza,la kwanza piga picha hizo kadi halafu save soft copy kwenye email yako,maana akigundua mabadiliko hiyo kadi anaweza ihamisha hapo home,nenda chunguza afya yako ya uzazi ukiambiwa uko fiti fanya yafuatayo.

Anza kuchunguza uhusiano wa mke wako na huyo jamaa kwanza kama mkeo ni mfanyakazi jaribu kupeleleza kama jina la huyo jamaa ni mfanyakazi mwenzie,kama sio itakubidi uanze kuchunguza mawasiliano ya mkeo na huyo jamaa utafanya vp hapo itakulazimu kuingia gharama kuwatumia watu wa makampuni ya simu kuchunguza namba gani inawasiliana na mkeo mara nyingi,au option ya pili ni kutumia mspy ila hii software inaweza kukuua kabla ya siku zako lazima uwe na kifua wanasema waswahili,utawezaje pata mawasiliano yake mnunulie simu mpya mkeo na kabla ya kumpa install hii software online then mpatie kama zawadi baada ya hapo mawasiliano yake yote utayapata kuanzia email,whtasup na simu zake endapo ataitumia hiyo simu kwa mawasiliano.

Ila usitumie hiyo software kama huwezi kuzuia hasira zako.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndoa haina amani ila ina utulivu...maana maelezo yako ya yanathibitisha hivyo...muulize atoe maelezo mapema kabla mambo hayajakuchwa...
 
Piga photocopy, au scan au zipige picha zote 2. Then usiku akiwa kasha lala bandika kuta za nyumba-ndani na nje ya nyumba. Then kula buyu kama huoni vile na kama hufahamu kinachoendelea.

Hapa lazima aweweseke kinomaaa kwa siku 5 na wala job(kama ana kazi) hataenda.

Baada ya siku hizo na blah blah zake atakazo kwambia, msikilize ila usikoment ktk maongezi yake.

Piga simu kwa baba mkwe au mama mkwe, kwa miguu yao bila kuwakilishwa na mtu afike au wafike wote.

Uwe tiyari kupima DNA kama kinga ya ndoa yako. Tahadhari pima Hospitali mbili tofauti ww binafsi kimya kimya kama una uwezo wa kutia mimba.

Majibu ya DNA yakiwa tofauti na Genisi zako jua imekula kwako (ingekuwa ndoa changa, tungesema alikuja na mzigo kwako).

Uamzi hapa ni kupiga raia huyo chini.
 
Ushahidi wote huo bado unajadili nini? Weka mtu pembeni mpaka alete ushahidi wa kukuambia kuwa wewe ni mhusika.
 
Uwe tiyari kupima DNA kama kinga ya ndoa yako. Tahadhari pima Hospitali mbili tofauti ww binafsi kimya kimya kama una uwezo wa kutia mimba.

Hii wadau wwngi hapa mmenipa ushauri ambao kiukweli ninaenda kuufanyia kazi kuanzia kesho nitarudi kuwapa mrejesho, Thank you.
 
Nilitaka kuchukua hayo maamuzi bawasha nikakumbuka kwamba hapa mpo Magreat Thinkers huku
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ipo sana,wanaume tunadanganywa sana.Kuna doctor pale lugalo upande wa uzazi anashuhudia hayo sana
 
Hivi kuna kadi mpya za kliniki siku hizi? Kadi za Kiliniki zamani zilikuwa na jina la mtoto tu basi, sijaziona mpya zenye majina ya Baba na Mama kama hizi anazozisema huyu bwana hapa!!!!.

Tiba

Huyu bado hajapata mtoto ikiwa mweusi was machi ndiyo amepata ujauzito
 
Ila sasa yawezekana tatizo unalo wewe em nenda kacheki hospital kwanza kabla ya yote miaka minne katika ndoa bila matunda mmmh..
ngumu kumeza
 
Ahahaaaaa! "Wanaume wa Dar es Salaam" bwana, baada ya 'Panya Road" imekuja hili nalo....
 
Hii wadau wwngi hapa mmenipa ushauri ambao kiukweli ninaenda kuufanyia kazi kuanzia kesho nitarudi kuwapa mrejesho, Thank you.

Kila la kheri ñdg. Mungu akubariki sana.

Achana na kupigana kamwe!
 
Pole sana mkuu nimejisikia vbaya kwa mambo unayopitia ni vzr ukaptia ushauri bora kwa ajl ya maamuz sahh
 
Hii wadau wwngi hapa mmenipa ushauri ambao kiukweli ninaenda kuufanyia kazi kuanzia kesho nitarudi kuwapa mrejesho, Thank you.
Hebu angalia na hii
Habari wanajamvi,....
...Hebu msikie kijana huyu, kisha umpe ushauri na uchangie mada nini kifanyike.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, nimejaliwa kufunga ndoa na mke wangu miaka 4 iliyopita, ingawa tumechelewa kupata mtoto lakini ndoa yetu ina upendo na amani ninaishi Dar...

Kwa nini usiseme ni wewe toka mwanzo?
 
Hivi kuna kadi mpya za kliniki siku hizi? Kadi za Kiliniki zamani zilikuwa na jina la mtoto tu basi, sijaziona mpya zenye majina ya Baba na Mama kama hizi anazozisema huyu bwana hapa!!!!.

Tiba

Kadi anazosema huyu ni zile mwanamke mjamzito anazojaza anapoanza kuhudhuria klinik,ambapo hulazimika kutaja jina la mwezi wake/mlezi. ambayo ni bora angeandika jina la baba yake tu mtoto akizaliwa ndio atafute kadi mbili sasa sijui kwa nini kawahi mapema hivi angali asingeandika la mmewe wala mchekupo bali la baba yake na mchepuko na mmewe wasingekuwa na wasiwasi.

hapo inaonesha mwanamke anajua kwa kiasi kikubwa kwamba mimba yao ya ndani ya ndoa hata ikimfia mmewe asijeenda zika mtoto asiye wake mzimu ya kwao isije ikacharuka. nadhani binti amekuwa mwoga sana hana uzoefu wa kusingizia
 
Back
Top Bottom