Pole, kwanza nakushauri usi panic tuliza boll. Kwa maelezo harakahara hizo ndizo athari za ndoa za utotoni; kwa sasa una miaka 28 na ndoa ina miaka 4 kwa maana ulioa ukiwa na miaka 24, ni wazi kabisa mwenzi wako alikuwa chini zaidi pengine 20 au hata 18(wewe ndiyo unayejua), sijajua standard ya life mliyo nayo kama nyumbani ji kila siku sikukuu au ndo kudunduliza(enzi zetu tulikuwa tunaita 'muambo'), bado mkachelewa kupata mtoto hapo mengi yanawrza kuwa yamepita au kupitia wakati kiakili na fikra,hekima na busara virikuwa bado kufuatana na age! Anyway,
bado nina strong belief kuwa huo ujauzito ni wako, ila kuna michepuko kwa mkeo, huenda ndiye mfadhiri wa maisha hapo home na hiyo kadi ndiyo ndoana ya huyo mchepuko. Ushauri(pata kivuli chake), weka mbali na nyumbani, mtumie mtu mwingine kama dada nk, awe karibu kufustilia nyendo haswa anapoenda kliniki na matembezi, utapata ukweli bila kuathiri mahusiano hapo home na mama mtarajiwa ili msiathiri hatima ya mtoto kiakili akiwa tumboni na wakati wa kuzaliwa kwani kuna pepo wa kukataliwa asiewe ndiyo makao yske hspo kwa maisha yake yote, hata utakapofahamika kuwa ni wako kwa DNA na kufanana na babu yako au wake aliyekufa zamani. Muhimu tulia.