Mke wangu ana kadi mbili za kliniki, moja jina langu, lingine la bwana mwingine!

Mke wangu ana kadi mbili za kliniki, moja jina langu, lingine la bwana mwingine!

Duh! Inahitaji, aisee sijui ningevunja mtu mguu au mkono siku hiyo
 
duh! pole sana mkuu cha msingi kachungze kwanza kama pistol yako ina risasi ndani.baada ya kufanya hivo itakua rahis kulifuatilia hilo swala
 
teh teh teh teh teh...Mungu ni mwema,kakuelekeza hadi ukaziona hizo kadi KUKUDHIHIRISHIA kuwa mkeo SIO MUAMINIFU!.,ushauri gani sasa unaomba hapa?
Si ndio Yeye asemaye Mume asimuache Mke wake isipokuwa kwa habari za .......
 
Nawashukuru wakuu ila hatujawahi kuchelewa kupata mtoto pale tulipohitaji kuzaa, pia nawashukuru kwa ushauri kwamaana yawezekana nina matatizo bila kujijua japokuwa awali tulikuwa tunaangalia siku ya kufanya mapenzi kuwa iko salama au la hadi pale tulipoamua kuwa na mtoto.

Rejea original post yako hapo Juu mkuu,umesema mwenyewe kuwa mlichelewa kupata mtoto ila sasa hivi unakana tena!!....khaaa!! una nia ya kupata solution kweli???
 
Unaandika kwa kero kweli paragraph 6 zote ni blah blah tu.Sasa sikia wewe huyo mtoto sio wako na utakua una matatizp ya kuzalisha nenda kapime shahawa zako ujue.
Yaani amejitahidi kuipamba hii hadithi mpaka nimekumbuka writing skills lessons they say the last paragraphs ndizo huwa na maana ya taarifa. Kwa uandishi huu pekua vizuri utakuta na kadi ya tatu.
 
Hivi kuna kadi mpya za kliniki siku hizi? Kadi za Kiliniki zamani zilikuwa na jina la mtoto tu basi, sijaziona mpya zenye majina ya Baba na Mama kama hizi anazozisema huyu bwana hapa!!!!.

Tiba

Du yaani wewe ni mzee wa miaka zaidi ya mia
 
Rejea original post yako hapo Juu mkuu,umesema mwenyewe kuwa mlichelewa kupata mtoto ila sasa hivi unakana tena!!....khaaa!! una nia ya kupata solution kweli???

hahahahahahaha...muhurumie tu mkuu,mwenzio hiko kilikuwa kichaka cha kujifichia kujustify tabia ya 'mkewe!'
 
Nawashukuru wakuu ila hatujawahi kuchelewa kupata mtoto pale tulipohitaji kuzaa, pia nawashukuru kwa ushauri kwamaana yawezekana nina matatizo bila kujijua japokuwa awali tulikuwa tunaangalia siku ya kufanya mapenzi kuwa iko salama au la hadi pale tulipoamua kuwa na mtoto.

Huyo mwanamke hakufai kabisa tena tupa kabisa,,, japo kuna watu wamekushauri kuwa yawezekana kuna zoba anachunwa lakn hapo moja kwa moja amekuonesha kuwa sio mwaminifu, iweje mtu aliye kwenye ndoa athubutu kumwandika mwanaume mwingne kwenye kadi?

Chukua hizo kadi waite wazaz wake waambie naachana na mwanenu kwa sababu hii huku ukiwaonesha hizo kadi.....

Huyo sio mwaminifu hakuna mjadala
 
Hivi kuna kadi mpya za kliniki siku hizi? Kadi za Kiliniki zamani zilikuwa na jina la mtoto tu basi, sijaziona mpya zenye majina ya Baba na Mama kama hizi anazozisema huyu bwana hapa!!!!.

Tiba

Zipo jina la na baba na mama na elimu ya baba na mama na kazi ya baba..izo ni mpya
 
zipo jina la na baba na mama na elimu ya baba na mama na kazi ya baba..izo ni mpya

Asante kwa kunitoa tongotongo. Ila naona kama that is too much details kabla ya mtoto kuzaliwa au?

Tiba
 
Asante kwa kunitoa tongotongo. Ila naona kama that is too much details kabla ya mtoto kuzaliwa au?

Tiba

Yah sijui walikuwa wana taget nini kuweka vikorobwezo vyote hivyo,lakini pia inatusaidia wakina baba kama mdau mwenye uzi alivyogundua kamchezo hako ka mkeww.
 
Hivi kuna kadi mpya za kliniki siku hizi? Kadi za Kiliniki zamani zilikuwa na jina la mtoto tu basi, sijaziona mpya zenye majina ya Baba na Mama kama hizi anazozisema huyu bwana hapa!!!!.

Tiba

Kadi ya klinik inakuwa na jina la mama mtarajiwa na baba mtarajiwa lzm yajazwe hayo majina,yaan jina la alokupa mimba
 
Kadi ya klinik inakuwa na jina la mama mtarajiwa na baba mtarajiwa lzm yajazwe hayo majina,yaan jina la alokupa mimba

Kama humjui aliyekupa mimba inakuwaje?

Tiba
 
Mapengo 17

Pole sana sana sana. Vumilia na endelea kufanya kwa kadri wadau walivyokushauri hapo juu. Mengi mazuri wamekushauri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom