Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 276
- 436
Umeoa mke wa mtu. Piga chini ili usiendelee kuteseka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, pamoja na Changamoto ya mke wako, kuna mahali hujasimama vyema.Mambo.
Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.
Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.
Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.
Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.
Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).
Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Acha uongo dogo.Hapana boss mi mfanya biashara.. sijataka kumuonyesha mke wangu Mali zangu zote Wala account zangu zote. juzi nimeingiza 26m sijataka hata kumwambia.
Mm nadhani uzi ungeishia hapa! Nakazia hapa ndio mwisho, atekeleze hili!Sawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......
1. Huyo mkeo alikubali kuolewa na wewe kwasababu alihitaji harusi na sio ndoa.
2. Inavyo onekana mkeo bado anaupendo wa dhati kwa X wake na bado anamatarajio na mipango flani ya mbeleni kwenye familia ya X wake.
3. Kwa mtazamo wangu mimi huyo sio mke wako, bali unaishi na mke wa mtu.
4. Ulijikuta unaoa mwanamke ulie mpenda pasipo kujipa nafasi ya kumjua vizuri.
5. Nahisi unamadhaifu flani kwa mkeo na tayari amesha yagundua.
Ushauri wangu ni:-
Ingekua mimi ndio wewe, baada ya kupata ushahidi ulio jitosheleza wala nisinge hangaika kutafuta ushauri na nisinge waza mara mbili, bali ninge mpiga chini pasipo kujali maumivu yangu ama yake. Baada ya hapo ningezima masikio kwa maneno na mashambulizi yoote ambayo ningetupiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Na mwisho kabisa nisinge kubali ushauri wa aina yeyote kutoka kwa mtu yeyote kwasababu hakuna kati yao ambae angenisaidia kuyabeba maumivu ambayo nimeyapata.
Mwisho kabisa, dalili ya mvua ni mawingu walisema wahenga.
Muache huyo ni mzinifu
Hata Mungu anaruhusu kumuacha mzinifu
Jitahidi asijue chochote kuhusu milki zako pamoja na mali zako. Yupo kimaslahi na amekudharau. Hivyo the moment atagundua uwezo wako kiuchumi atajirudisha kwako mbio mbio akupige tukio; aombe talaka mgawane mali arudi kwa Ex wake. Anza mchakato wa kuachana naeHa
Sahihi, ndugu Yangu. Nakaanae Nyumba ni Yangu Yeye Anajua tumepanga. Pia nilijenga hiyo Nyumba pasipo kufika site na kiwanja niliagiza ndugu kununua document na picha yangu Anajua Mwenye Nyumba anakaa mkoani kuoa kipengele.
Unamuingiza cha kike mwenzioWewe hadi umeoa basi unaakili timamu.
unasema unampenda mkeo basi zidisha upendo ipo siku ataacha hayo mambo mkuu.
Ndoa sio mchezo mkuu...kuoa na kuacha unajitia GUNDU tu....
Tuliza akili itulie huwenda pia anakupima IQ yako inauwezo wa namna gani katika kufikilia.....ACHANA NA MHEMKO
Achana naye mapemaMambo.
Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.
Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.
Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.
Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.
Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).
Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Mnapenda kutushtua moyo watanganyika wenzenuHapana boss mi mfanya biashara.. sijataka kumuonyesha mke wangu Mali zangu zote Wala account zangu zote. juzi nimeingiza 26m sijataka hata kumwambia.
Kama unajua ndugu za ma x ambao wapo huko socio network..very simple.Mambo.
Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.
Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.
Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.
Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.
Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).
Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Umeongea kila kitu, nadhani huu uzi uishie hapaSawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......
1. Huyo mkeo alikubali kuolewa na wewe kwasababu alihitaji harusi na sio ndoa.
2. Inavyo onekana mkeo bado anaupendo wa dhati kwa X wake na bado anamatarajio na mipango flani ya mbeleni kwenye familia ya X wake.
3. Kwa mtazamo wangu mimi huyo sio mke wako, bali unaishi na mke wa mtu.
4. Ulijikuta unaoa mwanamke ulie mpenda pasipo kujipa nafasi ya kumjua vizuri.
5. Nahisi unamadhaifu flani kwa mkeo na tayari amesha yagundua.
Ushauri wangu ni:-
Ingekua mimi ndio wewe, baada ya kupata ushahidi ulio jitosheleza wala nisinge hangaika kutafuta ushauri na nisinge waza mara mbili, bali ninge mpiga chini pasipo kujali maumivu yangu ama yake. Baada ya hapo ningezima masikio kwa maneno na mashambulizi yoote ambayo ningetupiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Na mwisho kabisa nisinge kubali ushauri wa aina yeyote kutoka kwa mtu yeyote kwasababu hakuna kati yao ambae angenisaidia kuyabeba maumivu ambayo nimeyapata.
Mwisho kabisa, dalili ya mvua ni mawingu walisema wahenga.
Sawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......

hili suala ongea na mkeo na ukiona anazidi,ita wazazi wake,akizidi ongea na viongozi wa dini na akizidi,anzisha maongezi ya kuvunja ndoaMambo.
Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.
Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.
Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.
Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.
Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).
Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Mkuu hebu tueleze wakwe zako na wasimamizi wa harusi yenu wanasemaje kuhusu hili sakata.Mambo.