Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Akubali tu kuwa mtumwa......huyo demu anamfanyia Drama kwa kuwa anajua msela hana options
Kutumwa supu ya kongoro usiku
Kitapika tapika
Kuambiwa unanuka
Kuambiwa mafuta yana harufu mbaya 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akubali tu kuwa mtumwa......huyo demu anamfanyia Drama kwa kuwa anajua msela hana options
Sasa akili zipo?Tumeambiwa tuishi nao kwa akili tumia akili utamuelewa
Kabisa upo vizuri karibu ndoani!Sijawahi kuwa na mimba lakini NAHISI wanawake wanatake advantage ya kuwa na mimba kama kigezo cha kuvumiliwa tabia zozote watakazoanzisha huku wakitegemea kuvumiliwa kwa hali yao
#NoOffense
Kuna siku nilikutana na Mama Mkwe analalamikia mkwe wake kuwa huyu Mkwe wangu amezidi anatufanyia makusudi tumechoka......yaani akipata mimba basi root za Hospitali kila siku.Sijawahi kuwa na mimba lakini NAHISI wanawake wanatake advantage ya kuwa na mimba kama kigezo cha kuvumiliwa tabia zozote watakazoanzisha huku wakitegemea kuvumiliwa kwa hali yao
#NoOffense
Hapo sasaSasa akili zipo?
Mbunye oriented men ndo ikoje hii kitaalamu ndugu Bush DoktaYou are correct joana sasa akutanane na Mbunye Oriented Men anatamba anavyotaka.
Nilishakaribia...asanteKabisa upo vizuri karibu ndoani!
Hunakili au unazo hujazituliza ondoa makasiriko kwanza hlf utaniambiaSasa akili zipo?
Sijakuelewa. Mbona kama unatoa povu?Hunakili au unazo hujazituliza ondoa makasiriko kwanza hlf utaniambia
Kama maneno machache tu hujanielewa bc hy mkeo huwez muelewaSijakuelewa. Mbona kama unatoa povu?
you're a man in a woman's bodySijawahi kuwa na mimba lakini NAHISI wanawake wanatake advantage ya kuwa na mimba kama kigezo cha kuvumiliwa tabia zozote watakazoanzisha huku wakitegemea kuvumiliwa kwa hali yao
#NoOffense
Usimuache kamwe. Huyo mtoto atakaye zaliwa ni wa KIUME. Vumilia sana.Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Ni wale watumwa wa mbunye.....Wanawake wanawatesa sana. Na Akishakujua udhaifu wako anakufinyanga anavyotaka maana hufurukutiMbunye oriented men ndo ikoje hii kitaalamu ndugu Bush Dokta
🤣🤣 disco limeingia NgorongoroKama maneno machache tu hujanielewa bc hy mkeo huwez muelewa
Alafu et the End akapime DNA.