Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,211
- 12,538
kuleta mambo ya wake zetu humu jukwaani ni ukosefu wa adabu, hivi na wake zetu wakiamua walete mapungufu yetu humu, itakuwaje? suala la mimba linajulikana kabisa kwamba mtu lazma abadilike, kila kitu kitabadilika ndani, kila kitu namaanisha kila kitu, mimba sio kipele, wewe ukipata jipu tu la siku kadhaa kadhia yake unaiona je ukibeba mimba itakuwaje, kuna wakati inabidi tuwapongeze wake zetu kwa kutubebea hizo mimba ama kama huitaki hiyo mimba, itoeni ili mkeo awe kama zamani ama tafta mgumba. stupid, ni marufuku kuleta aibu za ndani mwako upenuni, mpe pongezi na si kumsakama..sisi wengine tunatamani wabebe hizo mimba kila mwaka maana kuna gape tunapita nazo humo humo, ukiagizwa bamia aa saba ya usiku unapata visa ya kurekebisha na mambo zingine za usiku, mimba ni fursa