Mke wangu ana mimba ya miezi miwil lakini kabadilika sana

Sijui kwanini huwa sikutani na wajinga wa aina hii, maana mimi mwenyewe ndio bingwa wa drama kweli kweli, ukianzisha movie utajuta kunijua.
Wajinga huwa wanakutana na wajinga wenzao. Mimi siwezi kuwa na mwanamke wa namna hii.
Is like she doesnt have plans, wants, time in her life.

Yaani uanze kuhangaika na kuacha kufanya kazi ya kulea mimba na kutunza watoto ujikite kwenye kununua ndimu usiku na mchana?
 
Mwanzo nilikuwa cjui hz issue picha linaanza nimefika home usiku saa tatu nikaomba maji ya baridi ya kuoga kaweka ya moto. Nilikuwa nimechoka usiku anataka nigeuke nikamwambia nipo hovyo nimechoka na natakiwa niamke hasubui sana niende kazini siakaanza kunifunua shuka kwamba siwezi kulala kama sitageuka walau tutazamane. Nikabeba shuka nikaenda sebuleni, kabeba jagi la maji kaja kanimwagia. Aisee nikaona issue nikavaa nikaenda kulala guest. Kumbe nyuma kanifatilia akanipigia Cm nikapokea kwahyo ndo umeamua kunikimbia kwenda kwa wake zako? Nikamwambia nimeenda kulala kwa jamaa yangu akanijibu mbona nasikia mwangwi wewe umelala guest sasa ngoja tuone. Sijakaa sawa nasikia dada wa mapokezi anatembezewa kichapo. Aisee ile natoka chumbani nakuta ni wife kidogo ampasue mtu nilimtandika kofi moja mungu na Mtumie nilifikili nimeuwa. Alipo nyanyuka mbio kaenda polisi kushitaki damu zinamtoka puani cjakaa sawa polisi hawa hapa. Kufika kituoni kumbe polisi wananifahamu wanamuuliza huyu hapa tumemleta kwahyo njoo kesho kutwa tuna mpeleka mahakamani. Mwanamke kwani mm nimewaambia tuna ugonvi naomba mnipe mme wangu niende naye nyumbani. Kuja kufahamu kumbe ni mimba ina miezi mitatu.
 
Ulioa shetani.....Pole sana.

Mtafute Natafuta Ajira akutoe kwenye huo Utumwa. Huyo Demu wako anakudharau sana na hakupendi.

Na hiyo mimba inaweza kuwa hata sio yako. Don't Play with Women.

Hizo zote alikuwa anakufanyia makusudi kwa kisingizio cha Mimba.
 
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Mwanamke akibeba mimba yako kwahiari yake mwenyewe hakusumbui na hata mabadiliko yake utajikuta upo automatically kuyapokea, ila kama alikuambia hataki mimba ukamlazimisha utavuna ulichokipanda otherwise uwe na misimamo mikali sana , hekima, busara na kumpuuza
 
Anayapokea na kuya adopt kwani mamilioni kwa mabilioni ya wanawake si wanapata mimba kila karne? So hakuna kipya.

Wanaume maboya ndio wanafanywa mapoyoyo na wanawake for their Gain.
 
Mwanamke akibeba mimba yako kwahiari yake mwenyewe hakusumbui na hata mabadiliko yake utajikuta upo automatically kuyapokea, ila kama alikuambia hataki mimba ukamlazimisha utavuna ulichokipanda otherwise uwe na misimamo mikali sana , hekima, busara na kumpuuza
Hata kama ulilazimisha as long as anakupenda everything will be smooth
 
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Hapo sasa ndio uanamume....wajua hali haina control atakuchukias ujute.....ndio ilivyo wafuate wakubwa watakujuza....vumilia ndio ilivyo utaambiwa unanuka utoke ndani nyumba
 
Mwanzo nilikuwa cjui hz issue picha linaanza nimefika home usiku saa tatu nikaomba maji ya baridi ya kuoga kaweka ya moto. Nilikuwa nimechoka usiku anataka nigeuke nikamwambia nipo hovyo nimechoka na natakiwa niamke hasubui sana niende kazini siakaanza kunifunua shuka kwamba siwezi kulala kama sitageuka walau tutazamane. Nikabeba shuka nikaenda sebuleni, kabeba jagi la maji kaja kanimwagia. Aisee nikaona issue nikavaa nikaenda kulala guest. Kumbe nyuma kanifatilia akanipigia Cm nikapokea kwahyo ndo umeamua kunikimbia kwenda kwa wake zako? Nikamwambia nimeenda kulala kwa jamaa yangu akanijibu mbona nasikia mwangwi wewe umelala guest sasa ngoja tuone. Sijakaa sawa nasikia dada wa mapokezi anatembezewa kichapo. Aisee ile natoka chumbani nakuta ni wife kidogo ampasue mtu nilimtandika kofi moja mungu na Mtumie nilifikili nimeuwa. Alipo nyanyuka mbio kaenda polisi kushitaki damu zinamtoka puani cjakaa sawa polisi hawa hapa. Kufika kituoni kumbe polisi wananifahamu wanamuuliza huyu hapa tumemleta kwahyo njoo kesho kutwa tuna mpeleka mahakamani. Mwanamke kwani mm nimewaambia tuna ugonvi naomba mnipe mme wangu niende naye nyumbani. Kuja kufahamu kumbe ni mimba ina miezi mitatu.
Mmh,hizo zinakuwa ni mimba au mapepo?
Ila kule kijijini kwetu mbona hayo mambo hakuna?Mimi kwakweli huwa nabeba mimba zangu kazi nafanya vizuri na sijawahi kumsumbua mtu
 
Back
Top Bottom