Mke wangu ana mimba ya miezi miwil lakini kabadilika sana

Mke wangu ana mimba ya miezi miwil lakini kabadilika sana

Why some men don't want to take responsibilities?
Yaani akushinde wewe umpelekee usimbfu mama yake ambaye naye amezeeka kajichokea anahitaji kupumzika?

Hiyo ngoma akomae nayo ndio uanaume huo
Mama yake kaishazaa, kaishakaa na wajawazito vya kutosha hivyo inakuwa jambo bora zaidi.

Lakini mtu kufikia kumuacha mke kisa ujauzito si mchezo, unadhani ataweza kumsaidia mwenzio, shughuli za kufua, kuosha vyombo, na mambo mengine?
Wanaume tunajijua sisi akiondoka wife hata net tu kutoa kazi, unaingia hivyo hivyo unatoka hivyo hivyo...😂🤣 Wengine sisi wadada wa kazi si ruksa kuingia chumbani kufanya usafi.
 
Mfukuze! Ujauzito sio ugonjwa!!

Tandika makofi mpaka aache ujinga, ujauzito kitu gani bana!? Hata panya wanapata ujauzito!

Sijui kwanini huwa sikutani na wajinga wa aina hii, maana mimi mwenyewe ndio bingwa wa drama kweli kweli, ukianzisha movie utajuta kunijua.

Ndio maana Mungu ananiepusha sana na watu wajinga, vinginevyo Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......

MIMI SIPANGIWI wala SICHEZEWI..... Ni jiwe KweRi kweRiii
 
Vitu vya kawaida hivyo,mama mjamzito hata ikitokea ameua kuna mazingira yanambeba inasomeka manslaughter!
Mvumilie tu yatapita!
Umenikumbusha kisa kimoja kuna mtu kwa ofisi aliwakera watu nami nikiwemo si wakanijaza upepo nikamcharaze makofi sheria inanilinda na akilianzisha wanamvaa akanyee ndoo🤣🤣🤣🤣 yaan walinigeuza chambo kisa🤰hakuna wakunigusa wale wehu sana
 
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Mimba sio yako mkuu .....juna mmoja anamimba yangu nimemwambia amsumbue mmewe maana namdai mil 5 hataki kulipa nimeamua nimpigie mkewe na imekuwa bahati anamimba
 
Back
Top Bottom