Mke wangu ana mimba ya miezi miwil lakini kabadilika sana

Sijawahi kuwa na mimba lakini NAHISI wanawake wanatake advantage ya kuwa na mimba kama kigezo cha kuvumiliwa tabia zozote watakazoanzisha huku wakitegemea kuvumiliwa kwa hali yao


#NoOffense
Kuna siku nilikutana na Mama Mkwe analalamikia mkwe wake kuwa huyu Mkwe wangu amezidi anatufanyia makusudi tumechoka......yaani akipata mimba basi root za Hospitali kila siku.

Mama kafura.....sasa kama hataki mimba aseme tu sisi tumechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…