Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Awaache tu wote wazae. Ila aandae tu bajeti ya watoto kwenda shule bada ya miaka minne hivi; bajeti ya kula huwa sio tatizo. Shule nyingi za primary siku hizi ziko kwenye 2M kwa mwaka. Kwa watoto 2; ni 4M; ataweza tu.
 
Mkuu hebu urushe huo waraka wa serikali hapa, kwa faida ya wengi hapa JF.
 
Fungua Uzi mkuu
 
Hapo ndio anatakiwa kuonysha uanaume wake, sio anatia tu mimba halafu majukumu anakimbia, he should be responsible for his own actions
 
Kwani unapostarehe bila kuchukua tahadhari unakuwa unategemea nini sijui mivulana mingine ikoje,yaani unakuta limtu halitaki mtoto lakini halichukui tahadhari yoyote
Hahahahhaha sasa taadhari anaetakiwa kuchukua ni mwanaume au wewe mwenye goli? We unajua leo upo kwenye siku zako unapeleka K bila kujali! Kwanini usimpelekee baharia siku ukimaliza bleed tu?
 
Duuh
 
Ningetoa mimba leo hii nisingekuwa baba. Mwanangu ana miez 6 sasa kila nikimwona alivyo na afya alivo na furaha bhs najipiga ngumi kifuani nasema mimi ni kidume manake kafanana na mimi kila kitu[emoji28][emoji28]
 
Awaache tu wote wazae. Ila aandae tu bajeti ya watoto kwenda shule bada ya miaka minne hivi; bajeti ya kula huwa sio tatizo. Shule nyingi za primary siku hizi ziko kwenye 2M kwa mwaka. Kwa watoto 2; ni 4M; ataweza tu.
Hahahaha 4M kwa mwaka wakati shule za laki kwa mwaka zipo kibao tu😅!

Acheni kujitwisha mizigo isio na maana afterall watoto wenyewe watakuja kuwa wauza mishkaki barabarani😅
 
Hahahaha 4M kwa mwaka wakati shule za laki kwa mwaka zipo kibao tu[emoji28]!

Acheni kujitwisha mizigo isio na maana afterall watoto wenyewe watakuja kuwa wauza mishkaki barabarani[emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wote mnatakiwa kuchukua tahadhari hasa wewe mwanaume usotaka mtoto,ukiwa huwezi kuchukua tahadhari jiandae na matokeo
Sasa mie ndio nina mfuko wa uzazi au wewe? Why wanawake mnakwepa kuwa responsible? Katika wanawake niliokuwa nao ni mmoja tu ndio alikuwa keen kujua siku zake wengine wote ni mpaka niwahesabie mzunguko mimi😅

Yeye anajua kutawanya miguu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…