Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

legendary!
 

Zaeni Elimu Ni Bure Ndugu Zangu

Hata China Na India Zimeendelea Sababu Ya Idadi Ya Watu
By Mzilankende
 
Dah..nchi ina vijana wa ...sana 😂😂😂
 
Ikifika kiongozi atavuna alichopanda kwenye mashamba yote. Mwambie ajipige kifua na ajisemee moyoni yeye ni mkulima bora
 
Sasa mie ndio nina mfuko wa uzazi au wewe? Why wanawake mnakwepa kuwa responsible? Katika wanawake niliokuwa nao ni mmoja tu ndio alikuwa keen kujua siku zake wengine wote ni mpaka niwahesabie mzunguko mimi[emoji28]

Yeye anajua kutawanya miguu tu
Labda hao wake zako sie wengine pamoja na wenzi wetu tunajua wajibu wetu
 
Mbona hakuna tatizo lolote kama kuna pesa aisee. Kinachosababisha headache ni pale ambapo huna pesa ndipo mwanamke atakuzingua. Ila kama una mkwanja mwanamke mbona atakaa kimya kama hakijatokea kitu.
 
Ata Watoe mimba kwanini!!.
mwambie aache uoga
 
Awaache tu wote wazae. Ila aandae tu bajeti ya watoto kwenda shule bada ya miaka minne hivi; bajeti ya kula huwa sio tatizo. Shule nyingi za primary siku hizi ziko kwenye 2M kwa mwaka. Kwa watoto 2; ni 4M; ataweza tu.
Eenh tatizo sio kula wala kuvaa kasheshe wakianza shule ***** hakuna rangi utaacha ona....
 

Eti wote watoe mimba.... muuwaji kweli jamaa yako!! Mxiuuuuu

Kama ameamua kuwa rijali kama Yakobo na Suleiman Mwambie aongeze na kwa housegirl, kisha kila mmoja amuwekee housegirl wake na kila housegirl ahakikishe anazaa nae.

Wenzie kina Yakobo na Suleiman hawajawahi waambia wanawake wao watoe mimba. Mwanaume hutaki mimba na huwezi jizuia wa kujikinga fanya vasektomi mimba ikishaingia hakuna option zaidi ya kuzaa

Apambambane kiume walau ajitengenezee kabila6 za uzao wake ndani ya 2022

Apambane kiume
 
Kwani unapostarehe bila kuchukua tahadhari unakuwa unategemea nini sijui mivulana mingine ikoje,yaani unakuta limtu halitaki mtoto lakini halichukui tahadhari yoyote

Wanataka wachukue tahadhari wanawake tu
 
Home and Away.... dadeeeeki. Ndo maana kondom zinakosa soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…