Kuna mwamba mmoja, yeye alizaa na wadada wanne, mmoja Mwezi wa Saba, wawili watoto wamezaliwa siku moja mwezi wa nane.Nina mwanangu nimegraduate nae,yaani tuna maliza chuo mtaani katia mimba tatu na wote walijifungua salama.
Elfu 60 kwa mwezi, mwenyewe nishapelekwa ustawi nikaambiwa hivyo.
Hilo ni jukumu la mwanamke kama vile lilivyojukumu lake kubeba mimba. Hapana hapa kukwepa majukumu. Jukumu la wanaume ni kutunza familia basiMuwe mnakunywa dawa za kuzuia mimba kabisa na nyie sio jukumu la mwanamke tu
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,
Kwa hiyo ukitoa 100,000 - inakuwa umetoa na BONUS tayari....
Kuna mwamba mmoja, yeye alizaa na wadada wanne, mmoja Mwezi wa Saba, wawili watoto wamezaliwa siku moja mwezi wa nane.
Wa mwisho akazaliwa mwezi wa Kumi.
Wafanye vasektomi. Si hawataki watoto!?
Hilo ni jukumu la mwanamke kama vile lilivyojukumu lake kubeba mimba. Hapana hapa kukwepa majukumu. Jukumu la wanaume ni kutunza familia basi
Elfu 60 kwa mwezi, mwenyewe nishapelekwa ustawi nikaambiwa hivyo.
Kama mlikuwa hamjakubaliana kuzaa hiyo 60 inatosha wacha kwanza mwanamke ajifunze kuwa kugegedwa bila condom sio maana yake kushika mimba hovyoBasi mtunze na sio kutoa 60 eti mwezi jamani jamani
Nyie ndio mnywe dawa msizalisheKama mlikuwa hamjakubaliana kuzaa hiyo 60 inatosha wacha kwanza mwanamke ajifunze kuwa kugegedwa bila condom sio maana yake kushika mimba hovyo
Na ukiona mwanaume anashika mimba bila ya ridhaa ya mwanuame jua hamna mwanamke hapoUkiona baba wa mtoto anajivunia kulea mtoto kwa kutumia waraka wa elfu60 jua hamna mwanaume hapo
Kutoa mimba ni kosa la jinai wewe na rafiki yako mkono wa sheria utawahusuWakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Wanwake ndio wenye dawa mwanamke asipotaka kushika mimba ata mwanaume ufanye nini mwanamke hashiki mimba ng'ooNyie ndio mnywe dawa msizalishe
Kwani wakati anachepuka condomu hakuzionaatoe hizo mimba kwani hao watoto wamewakosea nini wakati ni wao na starehe zao ndio wameleta hayo matokeo??
alee tu akiona maji ya shingo yanazidi amuhadithie mkewe
Na ukiona mwanaume anashika mimba bila ya ridhaa ya mwanuame jua hamna mwanamke hapo
Hapo lazima akili ivurugike.Kuna mwamba mmoja, yeye alizaa na wadada wanne, mmoja Mwezi wa Saba, wawili watoto wamezaliwa siku moja mwezi wa nane.
Wa mwisho akazaliwa mwezi wa Kumi.
Yaani umeongea bonge la point. Kwa hiyo tuishi na wake zetu kwa akili sio vimada au wadangaji.Kwa nafasi ya mwanaume aliyonayo na ile ya mwanamke wanaume walipewa na wana uwezo na akili za kumanage mahusiano. Hii ya kusema mwanamke akishika mimba hana akili ni matokeo ya mwanaume kukosa akili
Unadhani Mungu alipomwambia mwanaume aishi na mwanamke kwa akili alikosea!? Au ndio wanaume hamtaki hilo jukumu
1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili;
na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu
Mithali 6: 32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake