Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu



Tatizo linaanza siku nyingi ndio Mwenyezi Mungu hapa akasema na wanaume hapa akawaambia....

Mithali 6: 32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake


Na Mungu alijua akawatahadharisha wanaume watumie akili zao. Mungu anajua mwanaume mwenye kutumia akili ana uwezo wa kuzuia maafa na kukaribisha baraka, Ila siku hizi wanaume wengi sio wote, sijui hawana akili au hawataki kutumia akili🤣🤣🤣

Hata Mungu anawashangaa
 
Miezi mitatu atoe?
 
You know the kid pimping all over the world
A hundred carats got me all over your girl
YEAH, five freaks and my Gucci duffle bag
A corporate thug, I run with a Playaz Circle
I got a Field Mob that'll Disturb your Peace
Blowing Sean Jay, all we do is smoke
Finish counting my bread and I was getting some h3ad
What's up? #Grew Up Screw Up
 
Unaupendaga huu mfano![emoji38][emoji38][emoji38]
 
Chaiii
 
Naked truth[emoji3590][emoji3590]
 
Noma Sana
 
Unzinzi una bring nothing but confussion and chaos.
And huyo jamaa alikuwa na option ya ku choose amani( atulie na mke wake) or chaos( michepuko)

Well its seems he is not a man of peace, amechagua chaos, let him deal with it
 
Sasa jamani kweli kwa vicodom hivi wanavyovaa wanawake undhanai hiyo akili ya mwanaume itafanya kazi wakati wote.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ni mjinga na mkrugenzi wa Wajinga ni huyo Rafiki yako yaan kwa kifupi wewe na huyo msela nye wako ni pipa na mfuniko, nnaomba Mungu atakaekubali huo ushauri wa kutoa Mimba imuue
 
Aisee kuna vichwa vina matukio hata Shetani anaogopa
 
Waraka unasemaje Mkuu?
 
Lea tuu Bro maana wakati una-jigging matokeo yake huwa yako wazi. Ukiangalia familia za kizamani mnaweza kuta watoto wako kumi au zaidi na hata wa nje wanaweza kuwepo na wote wakalelewa ipaswavyo. Ila siku hizi watu wamekua waoga sana na visingizio viiiiingi.
 
Duhh[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…