Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

Yani uko mbioni kumla shemeji. Kwasababu kwanza yeye atakua anakutaka, maana huenda kabla ya mme wake kufungwa alikua hamfanyi haya yote kwa mmewe
Pili kuna uzaifu fulani umeonyesha mbele yake kuhusu mkeo sasa anataka achukue hiyo advantage umtafune.
Hawa wote ambao wanasema huyu dada anaroho mbaya aithani alishaona mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanawake mna roho mbayaaaa hata shem anaeza kuwa na hamu mwache mara moja
 
Wanaume mlivokuwa na uchu wa papuchi sijuiiii

yaan ukimpamgishia ndo umeoa maana utajifanya kwenda kuona watoto ukifika utamkuta na khanga mwishowe shetani mbaya mara kawapitia bar.

Tatizo nililoliona wenda huyo shemeji anatoka kabila langu sisi hatusalimii tukiwa tumesimama kama minara au kumpa tu chakula umesimama,

kwa makabila mengine hili wanalifanya ukipiga magoti wanaona jambo jipyaa wakati kweti kawaida sana.

Mwambie shemeji ajifunze kula na vipofu hayo anayokufanyia aache mara moja kujivalisha vinightdress sebulen ni umalaya hana heshima pale si kwake.

Mwisho kila la kheri maana nilivyokuelewa mpaka kaka yako anarudi utakuwa ushamvua kyupi shemeji.

Utabiri :

kabla miaka ya kifungo haijaisha utazaa na shemeji yako na mkeo ataondoka. Mtoto mtakaemzaa akiwa na mwaka mmoja kaka yako atatoka kifungoni kwa msamahaa wa rais mpya ajae 2020 kutoka ukawa.

As from now you will never be happy.
 
Yani uko mbioni kumla shemeji. Kwasababu kwanza yeye atakua anakutaka, maana huenda kabla ya mme wake kufungwa alikua hamfanyi haya yote kwa mmewe
Pili kuna uzaifu fulani umeonyesha mbele yake kuhusu mkeo sasa anataka achukue hiyo advantage umtafune.
Hawa wote ambao wanasema huyu dada anaroho mbaya aithani alishaona mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa sioni kama huyo dada ana roho mbaya nadhani hayo mambo yanavyokwenda kinyume kati ya mtu na shemeji yake ndio yamemfanya mke apate mashaka ya kunyang'anywa tonge mdomoni.
 
Mkuu kwanza pongezi nyingi sana kwa wema wako na Mungu atakulipa.....fanya haya:

a) Kaa na shemejio mwambie aache kujihusisha na chochote kwako, si getini wala kupakua msosi amwache mkeo na kosa ulofanya ni kuruhusu hali hiyo hadi imefika hapo yaani hataki kurudi nyuma japo mkeo yupo na umeanza ugomvi. ukweli shemeji yako ana kosa na ye ndo ilipaswa ajishushe. pia usipokuwa makini kumkanya huyo shemeji ipo siku utajikuta umetembea nae maana ye anajilengesha anakusubiri hadi saa 6 na akiwa na night dress.

b) Japo umesema huwezi kumudu gharama za kumlipia nyumba ila jikaze mlipie chumba kimoja hata cha 40,000/mwezi ili akae na wanawe uokoe ndoa yako vinginevyo very soon utamtafuna, mkeo atajua wauane ndani.
 
Huyo "shemeji" nae ana walakini...ana lake jambo au mna lenu jambo, ishu ya yeye kutaka kutawala nyumba zaidi ya mama mwenye nyumba sio ya kawaida na hiyo kusubiriana na nguo za kulalia na kuitana "mume", mkuu jiongeze mkoromee akate mazoea au utamtimua.... wife yuko sahihi
 
Either there is more to this story, or .............Perhaps Shemeji kashahisi matamanio yako juu yake ? Kama wewe umesha muomba aache hizo mbwembwe zake, yeye anakataa na kutoa masharti eti ni wife ndio ajishushe. Je ni heshima gani hiyo kuingilia dynamics and/or kuvunja amani katika ndoa ya shemejiye unaye msitiri na kubebana zigo lake na familia yake!! ? Duh, what an ungrateful and twisted person!!
 
1. Shemeji aache kuingilia majukumu ya mwenzie.
2. Acha ku-entertain tabia za shemeji yako kwa kuhisi kuwa ni za kawaida, kwa wanawake hakuna dogo.
3. Kama wazazi wenu wapo, peleka huyo shemeji akawafanyie huo ukarimu wazazi kwa muda ili ugomvi upoe, baki na wanae ili waendelee na masomo.

4. Punguza mazoea yaliyopitiliza kwa shemeji yako, maana mnakoelekea utamla kabla kifungo cha jamaa hakijaisha au utaanza kumwonea wivu siku akipata lijamaa (kumbuka nae n binadamu mwenye hisia)

NB:
Usitatue hilo varangati kwa vikao, maana asilimia kubwa ya vikai ndivyo huvuruga ndoa/mahusiano. Kila jambo liko mikononi mwako.
Mekupenda buree!!!

Sio mijitu mingine inamuhukumu mwanamke na kusema wanawake hawapendagi ndugu wa mume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashamtafuna anajikosha to coz mwez uliopita wife alitonywa na wambea shemeji ametoa mimba na hela ilitumwa kwa daktar kutumia cmu ya mume ... Cjui kwa nn anaomba ushauri huku anaficha haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika nilijua wana mahusiano ila hasemi ukweli.

Hisia zangu hazijawahi kunidanganya!!

Kama ni hivyo aondolewe tu huyo mwanamke, arudi kwako watoto wabaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story si ya kuchangia haraka haraka siyo bure kuna kitu kinafichwa hapa wanawake wanawivu ndiyo lakini si wajinga kunakuwa na sababu kwa Mf tutamlaumu vipi mke kuwa hana upendo na hao ndugu ilihali alikubali kuishi nao toka mwanzo??

Kwa nini niruhusu shemeji anifungulie usiku, andae chakula nk. wakati mke yupo mbaya zaidi mnaenda kunywa harafu yeye mnamwacha wh???
 
Kwa awali tu nimegundua mkeo sio romantic kabisa ila ana wivu sana now tokana na treatmeant unayopewa na shemeji yako na jinsi unavyoipokea na kuinjoy hilo. Na kwa jicho la tatu ni kuwa shemeji yako ana hamu ya kuguswa baada ya kukaa long time bila huduma ya ndugu aliepo jela hivyo anatengeneza mazingira umle wewe na si mtu baki huko nje kuepusha fedheha. Ni ngumu kuelezea hilo kwako ila kwa vitendo tu...anataka msaada!

Kibinadamu sio kosa kukirimiwa ila kimazingira uliopo ni kosa mkuu hasa kama imefikia mnaitana na pet names. Hizo bonus anazokupa shemeji zinaweza kuwa kwa nia njema isipokuwa zinaleta picha tofauti kwa mkeo na kwa vile ye ndio mwenye mji lazma awe mkali maana asilimia 80% ya majukumu yake yamepokelewa na wifi yake katika hali ya kustaajabisha! Mkeo ana haki ya ku claim power yake.

Ongea na shemeji yako apunguze mazoea ya kuzidi najua ana nyege sana na dume lililo jirani ni wewe. Fanya kuongea nae mkiwa mbali at least aelewe hio hali inaleta mgogoro, ili mkeo nae apate amani, aione nafasi yake kwako zogo liishe.

Pia mkumbushe shemeji atambue nafasi yake ni kama mkimbizi tu hapo mjengoni na si vinginegyo.
 
Wewe jamaa kwa ulivyondika nina wasiwasi na ukaribu wako na shemeji yako.
Hapo shemeji amekaa mda mrefu bila mkuyenge, zinamuwasha washa mwilini. Sasa afanye na dume lililopo jirani ni mdogo wa mumewe na hawezi toka nje akihofia anaanzaje na huku anatunzwa! Upande wa pili anaona mwenzie analala nayo kila siku tu ha ha...

Sasa jamaa anajifanya haelewi eti ugomvi ni nini! Na huku mbinu zote za kumtia nguvuni zinatumika hadi wife kaona sio kweli hii...hakubaliiii!!!!!! Ha ha ha
 
nikatumia Muda huo kuongea ili ajishushe kuepusha ugomvi usiokua wa lazima pale home lakini akanijibu kuwa wife ndio anapaswa kujishusha kwa kuwa ni mdogo kwake.
Hii Kauli ya shemej yako imeniogopesha sana aisee, Kama una uwezo wa kumpangia huyo shemej yako chumba Kimoja tu na wewe uendlee kubaki na watoto naamin itapunguza misuguano.
 
Jambo ulilotenda ni jema usiruhusu mkeo akuharibie uhusiano mzuri na kaka yako tunza familiar ya kaka yako usimpe nafasi ya kukuvuluga kama anadhani una mahusiano naye je!? Ukimpangia nyumba ndio yatakoma.si atakuwa amefungua wigo mpana kuliko ilivyo sasa.kuendesha nyumba kunahitaji hekima ya mungu kaeeni wawili mzungumze mtalidhiana tu (mungu abariki nyumba yako amani na upendo vitawale)
 
Wanaume mlivokuwa na uchu wa papuchi sijuiiii

yaan ukimpamgishia ndo umeoa maana utajifanya kwenda kuona watoto ukifika utamkuta na khanga mwishowe shetani mbaya mara kawapitia bar.

Tatizo nililoliona wenda huyo shemeji anatoka kabila langu sisi hatusalimii tukiwa tumesimama kama minara au kumpa tu chakula umesimama,

kwa makabila mengine hili wanalifanya ukipiga magoti wanaona jambo jipyaa wakati kweti kawaida sana.

Mwambie shemeji ajifunze kula na vipofu hayo anayokufanyia aache mara moja kujivalisha vinightdress sebulen ni umalaya hana heshima pale si kwake.

Mwisho kila la kheri maana nilivyokuelewa mpaka kaka yako anarudi utakuwa ushamvua kyupi shemeji.

Utabiri :

kabla miaka ya kifungo haijaisha utazaa na shemeji yako na mkeo ataondoka. Mtoto mtakaemzaa akiwa na mwaka mmoja kaka yako atatoka kifungoni kwa msamahaa wa rais mpya ajae 2020 kutoka ukawa.

As from now you will never be happy.
Kwa nilivyoelewa hapo, mke wa kaka amezidiwa na libido (genyez). Sema anashindwa kuicontrol hio hali na kwa kuwa dume liliopo mdogo wa kaka na ndie anamtunza na familia anashindwa kutoka nje maana ni fedhea.

Approach yake ni kutengeneza mazingira ya ukaribu ili aliwe tu walau na mdogo wa kaka yake ila sio mtu baki. Ndio mazingira yaliopo na chanzo cha huo ukarimu uliopitiliza! Ameona aminyane na wifi yake tu maana hamna namna nae anataka sasa afanyeje!!!
 
Back
Top Bottom