Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kupika najua kawaida sio sana. Uchoyo sinagaSafi bila shaka ukipenda kula lazima unajua kupika , nawewe sio mchoyo !!!.....
Safi ....... ,,Nakupenda watu mfano ndugu jamaa na marafiki ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupika najua kawaida sio sana. Uchoyo sinagaSafi bila shaka ukipenda kula lazima unajua kupika , nawewe sio mchoyo !!!.....
Safi ....... ,,Nakupenda watu mfano ndugu jamaa na marafiki ???
Vzuri , unaolewa let say mnanyumba ina six rooms alafu hamna mtoto bado au mnao wawili tu ,,,Kupika najua kawaida sio sana. Uchoyo sinaga
Inategemea. Kama hao ndugu hawana pa kukaa au kuna mgonjwa sina tatizo.Vzuri , unaolewa let say mnanyumba ina six rooms alafu hamna mtoto bado au mnao wawili tu ,,,
Upo tayar kuishi na ndugu wako nandugu wangu Mimi nyumban ???
Oohh sawa ,,binafsi napenda sana watu na napenda kusocialize sana , maisha ya pekee yangu huwa siyawezi au kukaa wawili tu nahisi pia sitoweza nadhan nisababu ya pilika pilika zamaisha ,,,, hii inamaana hata kama MTU anamahali pakukaa au kwao wapo vzuri Bado akihitaji kuishi namimi nitamkaribisha ,,,, Je sasa mfano tungekua tumeoana ,, Wewe husingeweza kuishi na ndugu wako/wangu tunayemsomesha hata kama wazazi wake wapo vzuri nabado uwezo tunao wakumhudumia sawa na ambavyo angekua kwao ?????Inategemea. Kama hao ndugu hawana pa kukaa au kuna mgonjwa sina tatizo.
Ila ndugu mwenye uwezo wake ana mikono na miguu, mtu mzima hana tatizo lolote hata km ni ndugu yangu sitaki kumsikia, aje kutembea kwa muda achape lapa.
Kuishi na watoto wa ndugu tukasomesha ni sahihi, hata nyumba inachangamka. Mtu mzima hapana labda awe na tatizoOohh sawa ,,binafsi napenda sana watu na napenda kusocialize sana , maisha ya pekee yangu huwa siyawezi au kukaa wawili tu nahisi pia sitoweza nadhan nisababu ya pilika pilika zamaisha ,,,, hii inamaana hata kama MTU anamahali pakukaa au kwao wapo vzuri Bado akihitaji kuishi namimi nitamkaribisha ,,,, Je sasa mfano tungekua tumeoana ,, Wewe husingeweza kuishi na ndugu wako/wangu tunayemsomesha hata kama wazazi wake wapo vzuri nabado uwezo tunao wakumhudumia sawa na ambavyo angekua kwao ?????
Well ,, familia zetu za kiafrika Mara nyingi wazazi wanatembelea watoto zao na wanakaaa muda wowote waupendao ,,awe ana tatizo au lah,, furaha yao nikuishi na kulelewa na watoto wao ,,,,,Je hii kwako nikasumba au nijambo laheri ??Kuishi na watoto wa ndugu tukasomesha ni sahihi, hata nyumba inachangamka. Mtu mzima hapana labda awe na tatizo
Inaweza ikawa ni kheri na upande mwingine isiwe kheri. Kuna wazazi wanakwaza sana watoto, utamleta akae kwa upendo lkn ataharibu.Well ,, familia zetu za kiafrika Mara nyingi wazazi wanatembelea watoto zao na wanakaaa muda wowote waupendao ,,awe ana tatizo au lah,, furaha yao nikuishi na kulelewa na watoto wao ,,,,,Je hii kwako nikasumba au nijambo laheri ??
AaahhInaweza ikawa ni kheri na upande mwingine isiwe kheri. Kuna wazazi wanakwaza sana watoto, utamleta akae kwa upendo lkn ataharibu.
Hasa sisi mama wakwe tuna matatizo sana. Mimi sishauri wanandoa waishi na mzazi nyumba moja, awe upande wa mume au mke mara nyingi ni tatizo. Kama amekuja akakaa mwezi na hata zaidi ni sawa. Lakini kuhamia moja kwa moja hapana sipendi. Ndo iwe mgonjwa na si zaidi, tutampa matunzo huko huko alipo nyumbani kwake.
Epuka sana kuishi na mzazi au wakwe nyumba moja.
Jaribuni kukaa watatu, wewe mkeo na shemeji, mkubaliane mkeo afanye majukumu yake, shemeji kama anasaidia kazi kuwe na mpaka, mambo yote yanayokuhusu wewe mkeo ndio anapaswa Fanya. Ikifika kwenye majukumu ya watoto hapo sasa shemeji ndio aweke juhudi, lakini chakula chako, nguo zako na takataka zote zinazohusu wewe mwanaume... Wanawake wengi wanasahau majukumu yaho has a Hawa wake zetu, wakipata majaribu kama hayo wanaishia kusema " kuna kitu kuna kitu" kwa mazingira hayo wewe endelea kumsahidia shemeji, dunia inazunguka hii uwezi jua nani atakuwa msahada kwako badae...Wadau nawasalimu,
Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu,
Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka saba.
Huku nje familia yake ilishindwa kumudu kodi ya nyumba baada ya kodi aliyolipa jamaa kuisha, mkewe alikuja kuniona kwa ajili ya hilo, nami nikaliwasilisha kwa wazee ambapo walishauri niichukue hiyo familia tukae pamoja kwangu kwa kujibanabana hivyo hivyo.
Kwa kuwa kumlipia kodi kwa kweli kwa majukumu niliyonayo nisingeweza, maana ada za shule za watoto wake ni mimi pia ndio nalipa kwa sasa, tuliwatoa shule za gharama na kuwaleta za kawaida.
Wakahamia kwangu yeye na watoto wake, tunaamini kuwa miaka mitano iliyobaki katika kifungo si mingi sana, tukimwacha mwanamke aende njia yake si ajabu jamaa akatoka huku familia imepotea au kuchukuliwa na jitu lingine ukizingatia mwanamke hakua na kazi, ni house wife na wote tunajua jinsi hawa wenzetu walivyo dhaifu, nadhani wengi mmeshasikia simulizi nyingi za watu waliofungwa waliwakuta wake zao wako wapi pindi walipotoka huko.
Nyumbani amani imetoweka sasa, kati ya mke wangu na huyo shemeji yangu, huyu shemeji kiukweli ni mchapa kazi na mwenye heshima ya hali ya juu, nikirudi kutoka kazini huja mlangoni kunifungulia geti, baada ya hapo huja kwenye gari hunipa shikamoo huku amepiga magoti na kupokea kwa unyenyekevu mzigo wowote ninaokua nao.
Nikitoka kwenda bar nikirudi saa tano saa sita usiku huja kunifungulia geti anamzuia housegirl asiamke anakuja yeye, kisha hunipakulia chakula na kunikaribisha, ananisubiria anatoa vyombo na kuni wish good night.
Sasa hii treatment ambayo huyu shemeji ananipa imemkasirisha sana mke wangu ambae kwa kweli nimeshasahau mara ya mwisho ni lini alinikirimu hivi, mm uhudumiwa na hg na wengi wao huwa viburi sio kama anavyofanya shemeji,
Sasa umezuka ugomvi mkubwa ndani kati ya mke wangu na shemeji.
Usiku silali naambiwa nichague nimfukuze shemeji au yeye aondoke eti kama nimeona shemeji ni bora, mke wangu sasa haendi kulala mapema anakaa sitting room na shemeji hadi saa sita hadi nifike ili aone kama kuna kitu kinafanyika, ameshatangazia wanaukoo kuwa mimi na shemeji kuna kitu kinaendelea jambo ambalo sio la kweli.
Pia shemeji anapenda kuniita kwa jina la "" mume"" juzi mke wangu alimsikia akiniita hivyo na kumuuliza mume wako na nani ukazuka ugomvi mkubwa sana, wakati mwingine naporudi usiku mwingi shemeji anakua yupo ukumbini na mavazi ya kulalia akitazama series, mke wangu nae anatoka kuja kunisubiria hapo hapo akidhani kuna kitu labda tutafanya hapo na shemeji, hawazungumzishani kitu hadi mimi napofika, yule shemeji anawahi mezani kunipakulia chakula.
Juzi juzi tulikua tunakunywa bia mimi na shemeji yangu mahala fulani, huwa namtoa out mara moja moja ili walau apoteze mawazo ya matatizo yaliyowapata, nikatumia Muda huo kuongea ili ajishushe kuepusha ugomvi usiokua wa lazima pale home lakini akanijibu kuwa wife ndio anapaswa kujishusha kwa kuwa ni mdogo kwake.
La hasha nikampangie kwake yeye na wanawe niwe namhudumia huko, nikamjibu sina uwezo huo wa kuhudumia familia mbili, ukizingatia kuwa ndugu ni kama wamenitelekezea mm huu mzigo kila mtu anajifanya yupo busy na wengine wakilia ugumu wa maisha.
Wadau mnanishauri nini kuhusu tatizo hili, maana hali sasa ni tete, mke wangu amenipa ultimatum kwamba nimuondoe shemeji or else aondoke yeye, mimi tatizo langu kubwa ni wale watoto, hatima yao, inafikia hatua sasa mke wangu anawazuia watoto wetu wasicheze pamoja na wale wa kaka kutokana na ugomvi na mama yao.
Msaada wa haraka unahitajika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nadhani nisuala la kutambua nani ni nani!!. Wazazi watambue niwazazi na nyie watoto mtambue pia wajibu wenu , ,, Unajua kuna watoto yan anakua hapendi tu kuoana wazazi wa mwenzake au ndugu wamwwnzake . yaan hata kama MTU anaumwa bado utamsikia anakushauri ,,mpeleke tu nyumban matibabu uko uko . ukizingatia mpaka wazazi wanakuja kwako nisababu wanaamini kwako kunafaraja zaidi. Hii ndo shida.Inaweza ikawa ni kheri na upande mwingine isiwe kheri. Kuna wazazi wanakwaza sana watoto, utamleta akae kwa upendo lkn ataharibu.
Hasa sisi mama wakwe tuna matatizo sana. Mimi sishauri wanandoa waishi na mzazi nyumba moja, awe upande wa mume au mke mara nyingi ni tatizo. Kama amekuja akakaa mwezi na hata zaidi ni sawa. Lakini kuhamia moja kwa moja hapana sipendi. Ndo iwe mgonjwa na si zaidi, tutampa matunzo huko huko alipo nyumbani kwake.
Epuka sana kuishi na mzazi au wakwe nyumba moja.
mwanaume unakosaje say na watu walioko chini ya paa lako!?how comes unaona kabisa hapa kuna linalotafutwa zaidi ya ushemeji na unakaa unachekelea unaanza kulinganisha unayofanyiwa na mke,KAMA SIO UFALA NI NINI?Aiss
Sent from my TV
Ha haaa nini sasa mkuu??Aaahh
VERY TRUE!Khaaa hivi unakubalije shemeji yako afanye hayo yote we uangalie tu?!! Hadi nguo za kulalia!?? Too much huyo shemejio naye si muungwana hata kidogo hata kama no fadhila si hivyo anatakiwa kumuheshimu mkeo kama mama mwenye nyumba na si kumuingilia majukumu yake hata kama hatimizi mkeo ana haki ya kukasirika na kama mume unatakiwa kusimama katika mstari la sivyo hiyo ndoa yako haina uhai mrefu.be a man !!!