Mfukuze huyo mke wako coz sio mvumilivu hata kidogo je ingekuwa wewe ndo umefungwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Uctuzingue hapa eleza kila kitu kama ilivyo la sivyo natoboa yote maana nakufahamu vizuri 1.nani aliyemwambia housigel asiwe anafungua mlango 2.mara ngapi mkeo kakukuta kwa shemejio ukatoa kisingizio kuwa ulienda kumuangalia mtoto anakoroma vibaya 3.......4.......5.....6....7.....8....9....10
Sent using Jamii Forums mobile app
.Kuna kitu lazima, teh teh
unafikiri bado hawajafanya? anajionea aibu tu kuandika hapa.Mpeleke shemeji yako kwa wakwe zake, mpeleke kwenu akamsubiri huko mmewe. Kusema ukweli hata mimi nisingekubali. Hasa mwanamke kama huyo mwenye kimbelembele, unafikiri yeye hana matamanio, kuna siku mtavunja amri ya sita msipoangalia.
Mke wa jamaa anashindwa kujiongeza.mkuu mwambie shemeji arudishe majeshi nyuma na afikirie jambo la kufanya kumuingizia kipato na aache huo ukarimu wa mkeo kufanya.. japo anafanya kumtia wivu mke ajiongeze ,
Upuuzi gani hivi mme aliko gerezani akisikia hayo kuna undugu hapo!Mke wako ni mwanamke mpuuzi
wewe ungemkula??Kwa nilivyoelewa hapo, mke wa kaka amezidiwa na libido (genyez). Sema anashindwa kuicontrol hio hali na kwa kuwa dume liliopo mdogo wa kaka na ndie anamtunza na familia anashindwa kutoka nje maana ni fedhea.
Approach yake ni kutengeneza mazingira ya ukaribu ili aliwe tu walau na mdogo wa kaka yake ila sio mtu baki. Ndio mazingira yaliopo na chanzo cha huo ukarimu uliopitiliza! Ameona aminyane na wifi yake tu maana hamna namna nae anataka sasa afanyeje!!!
Eti mtu umefadhiliwa halafu analeta kiburi eti yeye ajishushe kwani ni mdogo kwangu yaani yupo kwa watu halafu na kiburi juu, hapo lazima pawake moto yy ampeleke ukweni kwake amsaidiye akiwa ukweni ili akili imsogeeMekupenda buree!!!
sio mijitu mingine inamuhukumu mwanamke na kusema wanawake hawapendagi ndugu wa mume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa wanawake hawapendani lakini kwa hili hapana aseme tu ukweli kama wanamzunguka mwenzaoHii story si ya kuchangia haraka haraka siyo bure kuna kitu kinafichwa hapa wanawake wanawivu ndiyo lakini si wajinga kunakuwa na sababu kwa Mf tutamlaumu vipi mke kuwa hana upendo na hao ndugu ilihali alikubali kuishi nao toka mwanzo??
Kwa nini niruhusu shemeji anifungulie usiku, andae chakula nk. wakati mke yupo mbaya zaidi mnaenda kunywa harafu yeye mnamwacha wh???
Mimi muda wote nasoma hii stori nacheka tu kwa jinsi jamaa anavyotuchuuza [emoji2] [emoji2] [emoji2]Inawezekana kabisa nia yako ni njema kumsaidia kaka kwa kutunza familia yake, ila huo uhadithiaji wako tu nina mashaka kama kaka yako atamkuta huyo mke kuwa ni wake bado...khaa...
Undugu hauishi je akimbandua mke wa kaka yake vipi hqpo undugu utakuwaje! Yeye amwambie shemeji yake ukweli pale sio kwake hivyo afuate masharti ya pale mbona yeye kashindwa kukaa mwenyewe kwake asimvunjie nyumba mwenzie hata mmewe akisikia mke wa mdogo wake kaondoka kisa mkewe wanakulana na mdogo wake nini kitatokea!Mkuu Kuwa ''MWANAUME"....kweli unampenda kaka yako,,, na ni jukumu lako haswa kuitunza familia yake hasa watoto....chunga sana,,, mkeo keshaanza kuwabagua...kisa gubu la bi mkuwa(shemejio)....na wewe ushaanza kunoa kisu umfanye asusa...kuwa makini kaka....ukigonga tuu mimba.......mtafutie mradi afanye.....mkeo mzingue kidg....akitishia mwambie aende zake....anabip tuu....ila kumbuka undugu hauishi....ndoa huvunjika.....kaka yako ni muhimu sana...tunza watoto wake....ikishindikana mwambie shemeji arudi kijijini....
Kwani kabla ya kuja huyo shemeji yake si alikuwa kalidhika na hiyo hali kwanini iwe sasa aseme tu na ameshampenda asimsingizie mkeweHuyo mke wako n matatizo sana, angekuwa anatekeleza wajibu wake kwako shemeji yako asingepata nafasi ya kutekeleza mambo hayo.
Lakin pia utani wa kumuita mume wangu, "mume" I don't entertain!!!!
Ila mh!!! Can't say too much!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie angepakua siku mbili siku ya tatu anarudi nilisha msafirisha na wanae ukweni kwake akakae na wakwe zetu huko hana adabuhuyo shemeji yako nae ni mtata aache kujishauwa katika ndoa za wenzie mwenye nyumba anaanzaje kujishusha kwake sasa?! nae anapata nguvu kabisa ya kusema kujishusha haweza kama vipi ukampangie chumba. anachekesha akae tena atulie yaani kama hayupo hiyo nyumba ni ya mwanamke mwenzie mwenye mume yupo kisa cha yeye kukimbilia kukupakulia vya nini sasa tena nae kamkuta mkeo kama mpole, ingekuwa mie shemeji yako ungemkuta kijijini kwao
Ndiyo mpaka kufungua ma gate usiku saa6 tena nightdress kwa mme wa mwenzio? Kama una mme sizani kama utamponda mwenye mmeHuyo dada anachofanya ni kama kumshukuru shemeji yake kwa mema anayomfanyia yeye na watoto wake!!! Ebu tuache kuwa na negative perceptions.....unafikiri kuishi nyumba ya watu ni kitu rahisi eeenh????