Yani uko mbioni kumla shemeji. Kwasababu kwanza yeye atakua anakutaka, maana huenda kabla ya mme wake kufungwa alikua hamfanyi haya yote kwa mmewe
Pili kuna uzaifu fulani umeonyesha mbele yake kuhusu mkeo sasa anataka achukue hiyo advantage umtafune.
Hawa wote ambao wanasema huyu dada anaroho mbaya aithani alishaona mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani uko mbioni kumla shemeji. Kwasababu kwanza yeye atakua anakutaka, maana huenda kabla ya mme wake kufungwa alikua hamfanyi haya yote kwa mmewe
Pili kuna uzaifu fulani umeonyesha mbele yake kuhusu mkeo sasa anataka achukue hiyo advantage umtafune.
Hawa wote ambao wanasema huyu dada anaroho mbaya aithani alishaona mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mekupenda buree!!!1. Shemeji aache kuingilia majukumu ya mwenzie.
2. Acha ku-entertain tabia za shemeji yako kwa kuhisi kuwa ni za kawaida, kwa wanawake hakuna dogo.
3. Kama wazazi wenu wapo, peleka huyo shemeji akawafanyie huo ukarimu wazazi kwa muda ili ugomvi upoe, baki na wanae ili waendelee na masomo.
4. Punguza mazoea yaliyopitiliza kwa shemeji yako, maana mnakoelekea utamla kabla kifungo cha jamaa hakijaisha au utaanza kumwonea wivu siku akipata lijamaa (kumbuka nae n binadamu mwenye hisia)
NB:
Usitatue hilo varangati kwa vikao, maana asilimia kubwa ya vikai ndivyo huvuruga ndoa/mahusiano. Kila jambo liko mikononi mwako.
Hakika nilijua wana mahusiano ila hasemi ukweli.Ashamtafuna anajikosha to coz mwez uliopita wife alitonywa na wambea shemeji ametoa mimba na hela ilitumwa kwa daktar kutumia cmu ya mume ... Cjui kwa nn anaomba ushauri huku anaficha haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo shemeji amekaa mda mrefu bila mkuyenge, zinamuwasha washa mwilini. Sasa afanye na dume lililopo jirani ni mdogo wa mumewe na hawezi toka nje akihofia anaanzaje na huku anatunzwa! Upande wa pili anaona mwenzie analala nayo kila siku tu ha ha...Wewe jamaa kwa ulivyondika nina wasiwasi na ukaribu wako na shemeji yako.
Hii Kauli ya shemej yako imeniogopesha sana aisee, Kama una uwezo wa kumpangia huyo shemej yako chumba Kimoja tu na wewe uendlee kubaki na watoto naamin itapunguza misuguano.nikatumia Muda huo kuongea ili ajishushe kuepusha ugomvi usiokua wa lazima pale home lakini akanijibu kuwa wife ndio anapaswa kujishusha kwa kuwa ni mdogo kwake.
Kwa nilivyoelewa hapo, mke wa kaka amezidiwa na libido (genyez). Sema anashindwa kuicontrol hio hali na kwa kuwa dume liliopo mdogo wa kaka na ndie anamtunza na familia anashindwa kutoka nje maana ni fedhea.Wanaume mlivokuwa na uchu wa papuchi sijuiiii
yaan ukimpamgishia ndo umeoa maana utajifanya kwenda kuona watoto ukifika utamkuta na khanga mwishowe shetani mbaya mara kawapitia bar.
Tatizo nililoliona wenda huyo shemeji anatoka kabila langu sisi hatusalimii tukiwa tumesimama kama minara au kumpa tu chakula umesimama,
kwa makabila mengine hili wanalifanya ukipiga magoti wanaona jambo jipyaa wakati kweti kawaida sana.
Mwambie shemeji ajifunze kula na vipofu hayo anayokufanyia aache mara moja kujivalisha vinightdress sebulen ni umalaya hana heshima pale si kwake.
Mwisho kila la kheri maana nilivyokuelewa mpaka kaka yako anarudi utakuwa ushamvua kyupi shemeji.
Utabiri :
kabla miaka ya kifungo haijaisha utazaa na shemeji yako na mkeo ataondoka. Mtoto mtakaemzaa akiwa na mwaka mmoja kaka yako atatoka kifungoni kwa msamahaa wa rais mpya ajae 2020 kutoka ukawa.
As from now you will never be happy.