Yani uko mbioni kumla shemeji. Kwasababu kwanza yeye atakua anakutaka, maana huenda kabla ya mme wake kufungwa alikua hamfanyi haya yote kwa mmewe
Pili kuna uzaifu fulani umeonyesha mbele yake kuhusu mkeo sasa anataka achukue hiyo advantage umtafune.
Hawa wote ambao wanasema huyu dada anaroho mbaya aithani alishaona mbele.
Ndg majibu umesha yapata.Ongeza na ya kwako kama mwanaume na baba wa familia, nusuru familia ya kakako awakute mkiwa na ule umoja aliowaachia,heshima,amani na upendo.Mungu ukutangulie kwani si rahisi!!!!!!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app