Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Hivi kufunga ndoa bila kuwa na mahusiano ya kinapenz linaweza kuwa tatizo?
 
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Umelinganishwa na msela fulani...

Ndio matatizo ya kuoa wanawake waliokwisha chezea "koki"...
 
Hivi kufunga ndoa bila kuwa na mahusiano ya kinapenz linaweza kuwa tatizo?
Linaweza kuwa tatizo ama lisiwe tatizo, inategemeana namna mtu anavyolijengea hisia na kiwango cha upendo.

Nimemuuliza mtoa mada swali hilo, ili akieleza ukweli tuupime kwa kulinganisha hiyo kauli ya mke wake
 
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.
Hongera umepata wa kukulinganishwa nae, amempata anayekula dona na nguluka wewe wa chips kuku muda umeisha!!
 
Linaweza kuwa tatizo ama lisiwe tatizo, inategemeana namna mtu anavyolijengea hisia na kiwango cha upendo.

Nimemuuliza mtoa mada swali hilo, ili akieleza ukweli tuupime kwa kulinganisha hiyo kauli ya mke wake
Sawa na kuhusu wanaume wako straight to marriage hawana Ile bby hiv Wala vile Wala kuomba Kwa uongo uongo Kwa hiki kizazi chetu inawezekana kuwa sawa au muhimu majaribio

Niliwah msikia mtuwang wa karibu anampendasana mumew ila Hana mahaba Yani Hana Ile kumhamsha hisia hawez hata kumsifia nikawaza inawezekanaje hii inakuwaje na solution ni nn mtu abadilike
 
Tumia akili katika kuamua na usitumue hisia.
1.Mwanamke yoyote aliyefunzwa malezi mema hawezi mtamkia Mwanaume neno kama hilo hata kama ni kweli.
2 .Mwanamke akikupenda na kukuridhia ataridhika na wewe hata pasipo ngono,na kuna wengine zile hisia dhidi yake tu anaweza akafika mshindo.
3.Mwanamke huzaa na Mwanaume aliyemkubali,kuna uwekano mkubwa zaidi ya 98% huyo mtoto sio wako.
4.kuwa na ndoa nzuri ni bahati kama zilizobahati zingine,sio kila mtu hapa Duniani atabahatika kuwa na ndoa perfect,ni kama ambavyo sio kila moja hubatika kuwa na hela au viungo vyote-hutokea bahati mbaya isipotokea kwako itatokea kwa yule.ukiendelea kuishi na huyo mwanamke kisa kumuonea huruma mtoto utakuja ujute yamkini ukafariki hata huyo mtoto hajafika mwaka 1.
5.Mpime huyo mtoto DNA ukikuta ni wako tafuta utaratibu wa kumuhudumia,kisha fukuza huyo Mwanamke.
 
Ni kweli sio rahis kumtamkia mumeo huniridhishi angekuwa na hekima angetafuta namna sahihi ya kufanya mambo yaende vizuri kuanzia mlo wa mumewe Hadi mazungumzo Kuonyesha kitu gani anatamani afanyiwe taratibu Hadi mambo yakae sawa haya mambo yanahitaji hekima sana
 
Wa Italiano wanapenda sana hiyo kuangalia live show
 
Mpka anakwambia hivyo basi ujue hutomridhisha kamwe, na kwanza kashakuharibu kisaikolojia na pengine unaweza ukaharibu zaidi ya sasa
Mfano hai ndiyo unataka kuingiza Sululu tena unaitwa kwa jina lako ama baba....... Si uliniahidi kuninunulia simu unashangaa mpini umekatika wenyewe, hahahaa huu ni uwenda wazimu
 
Fanya yote, hakuna kuwachanganya mnataka mkojoe nyie tu!!!!? Mnatufanya viuno viume hatupati raha ipaswavyo
 
Fanya yote, hakuna kuwachanganya mnataka mkojoe nyie tu!!!!? Mnatufanya viuno viume hatupati raha ipaswavyo
Wanawake wa kiafrika kwa malalamiko hamjambo, nyie kila kitu sababu ni mwanaume.

Utashangaa hata mwanamke ambae hujawahi kulala nae hata siku moja na umemtongoza juzi tu, anakuambia huniridhishi kitandani. Ili mradi alaumu tu ajisikie vizuri.

Nyie ni watu wa lawama! lawama!

Hivi hamuielewi miili yenu vizuri na kutoa ushirikiano mfike huko mnapotaka kufika?
 
Mke wako kaongea ukweli na umuelewe hivo.. Asilimia kubwa ya wanawake wanatuvumilia na wanawake wameumbiwa aibu, ukiwa naye ukimuuliza kama anaridhika atakuambia "ndiyo" .
Kuridhika kwa mwanamke kwenye tendo sio kufanya muda mrefu labda dakika 10- 20.

Ikiwa mke wako amekuambia mkiwa na ugomvi huenda ana mtu mwingine lkn km hamjagombana chukulia changamoto hiyo kuwa fursa na uboreshe namna ya kumridhisha.
Kiukweli mshukuru mkeo kufunguka hana mtu mwingine zaidi yako wa kumwambia...Ukihitaji msaada nipo tayari kukupatia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…