Mke wangu anadai simridhishi kitandani

mwanaume wa kweli, unahakikisha unamkojoza kisha wewe ndo unamaliza. kwani wewe miaka yote hiyo hujui kama unamridhisha AU humrithishi? huo kwako ni udhaifu kutokujua hilo mapema
acha kupanic tafuta solution. Zipo
una umri gani?
Unachokisema ni ukweli mtupu✅
Ni jukumu la mwanaume kujua mapema kama mpenzi wako anafika kilele na kama hafiki ujue nini cha kufanya😪
Zaidi inashauliwa pia mwanamke awe wazi na amwambie mumewe ni wapi ukikaza spana bomba litamwaga maji💦
 
Kwa mwanaume kuambiwa na mkeo humkojozi, wanawake huwa hawaelewi hili suala ni kama umempiga mtu na kitu kizito kichwani kama tani 7 hivi.

Unadhalilika kwa hali ya juu sana, please msitumie haya maneno kwenye ugomvi.
Yaani maana yake aliwahi kuridhishwa au yupo anayemridhisha ila sio mumewe. Huyo ni WA kuacha aseee
 
Hivi ndo wanaume tulivyo🤝
 
Shukuru Mungu kafunguka Japo kwenye uhalisia inaweza kuonekana chai ya moto
Wengi wanampotosha muomba ushauri. Kwa sisi watu wazima, hiyo mwanamke ni mzuri sana kwani kakuambia mkiwa wawili. Baada ya kununa na kujiliza humu, ni vyema mkae chini na kujadili nini cha kufanya ili aridhike.

Hajakudharau, mbaya angesema mtaani na ikufikie ila kama mmeongea wawili ndani hilo ni la kifamilia.
 
Ni watu wachache sana wenye kukubali kuambiwa ukweli,binafsi napenda sana kuambiwa ukweli,sipendi sifa za kijinga na ninapenda kujifunzia Kwa wale wanao nikosoa.


Humridhishi huo ndo ukweli chukua hatua,ulitaka akasemee ziwani aende na mamba!?
 
View attachment 3088963nakumbuka back in time nilikuwa mpiga nyeto machachali sana kudemu aliniambia unaume mzuri lakini dhaifu sana nilijisikia vibaya sana ...sikula siku nzima

najua hali unayopitia kaka mkubwa pole sana tafuta tiba ikiwezekana uwe unakula jack daniel kidogo kabla ya show
 
Afu lawama zote tunawasukumia wao
Kama anataka mke wa kudumu nae kwa ndoa huyu ni sahihi asilimia 85
Pia akumbuke yeye sio wa kwanza kuambiwa hivyo kwani wengi wanaume changamoto hii tunahusika nayo kikubwa atafute solution ili atatue tatizo ambalo litamfanya mwanamke wake ampende daima kwani mumewe atakuwa amejali hisia zake
 
Mkuu miaka yote hiyo haujajua tu formula? Ukikutana na mwanamke/mke/mchumba achana na malaya, hakikisha unamkojoza kwanza! Usiingize mb** kwanza, tumia vidole, ngumi, jembe, mbao, nyundo, misumari,vijiko, tofali vyovyote vile ilimradi akojoe ma aridhike kwanza! Akishamaliza sasa ndiyo zamu yako kuridhika! Hata ukipiga kimoja fresh.. kwasababu yeye atakuwa amesharidhika
 
Wala haihitaji ushauri kama miaka 3 hajapata alichoijia kwako

Mpe mkono wa heli nenda ustawi ulee mtoto kupitia ustawi wa jamii

Mwache akapate kwingine kile moyo wake unapenda
 
Ndio maana ni muhimu wana ndoa kuchepuka....
 
Tifua hata kalio lake ..........maana inawezekana kuna mhuhuni kaipitisha maabara ya dhambi.......sasa kaipenda na wewe hujawai hata tu kuikwaruza hata kwa bahati mbaya
Hili nalo akalitazame....maana hawa warembo wa siku hizi marinda hawana kabisaaa
 
Yaaan bora umesemaaa...hatuwezagi kusemaa
 
Pole sana broh. Muhimu sio kukata tamaa na tambua ni vizuri amekuwa muwazi kwako hivyo tambua la msingi ni kufahamu unakosea wapi??. Mwanamke anaweza akakojoa (kifika kileleni) kwa kutumia mbinu chache tu bila hata ya penetration just foreplay (labia Majora, labia minora, G-spot). Kuingiza uume na kutoa haimaanishi unafanya vizuri so ni vizuri wakati wa sex mkasemezana.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…