Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.
Tayari hapo hauna namna kwani uamuzi unao kwamba hauwezi kumwacha Kwa maslahi ya mtoto. Na hili litakutesa sana hauwezi kufanya maamuzi huru
 
Tatizo tuna anzisha familia na watu ambao.

1. Bado wana hisia na ma x zao.
2. Walikua na ma - x wanawapakia mkongo na Viagra.
3. Hatupendani\Hatujashibana 100%

Kipi utafanya muridhishe? Hapo cha muhimu ni kufanya kwa uwezo wako tuu, panapobakj atajua pa kujazia.
 
Sema huyo/hao muhuni/wahuni nikimpata/nikiwapata,nahakikisha ubongo hana/hawana. Watu tunatumia gharama sana kutunza hizi familia.
Pengine hao wahuni hawana makosa, usikute mkeo kawaambia hajaolewa, mkeo ndo mwenye makosa.
 
Sema huyo/hao muhuni/wahuni nikimpata/nikiwapata,nahakikisha ubongo hana/hawana. Watu tunatumia gharama sana kutunza hizi familia.
Mkuu tuliza sana kichwa kwenye hili,binafsi nakushauri jipime huduma uliyompa kwa miaka mitatu je uliona inamkidhi?
Unarudhika na uwezo wako?
Kama ndivyo basi tathimini kama unaweza kuishi bila yeye au utaendelea naye(hii itakutafuna kisaikolojia).
Mwisho tukiwa tunaelekea balehe mzee alituambia kwenye maisha usiwe bingwa wa matatizo,kama mke kaweza kuropoka hivi basi mimi naona hili ni tatizo .
 
Hilo ni swali gumu ndiyo lakini mgeuzie kibao kwani wewe unapokuwa unahangaika kumpiga mashine yeye huwa anafanya nin,anatulia tu au vp inabid na yeye mda mwingine anachangamka huw mwanaume unatulia unavuta pumzi,
Kuhusu mtoto tena mdogo huyo hakikisha unamlea na uwepo wako uonekane,huyo mtoto kuanza kulelewa na mam peke ake au kina bibi ni mbaya sana na wewe bado upo
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Kuoa B2B MIDFIELDER matokeo yake ni haya.
 
Omba msaada wewe jiongeze kuna vitu unaweza fanya zaidi ya kum do. Kuwa romantic , fore play ya kutosha hiyo issue yako ni ya kumalizia tu
 
Ukipitiliza kituo cha kushuka ni vema ushuke kituo kinachofuata...kadiri unavozid kwenda vituo vya mbele inakua ngumu kushuka...HAIHUSIANI NA MTOA MADA
 
Mkuu hata goli moja uki perform vizuri ataridhika.
Its possible anapenda mautundu ambayo hayajakaa kistaarabu na wewe unapiga kistaarabu.
Jaribu kuwa una explore zaidi mwili wake. Sidhani kama umewahi kupiga nae ile 69.

Wakati wa kula unapiga vikofi ganzi? Unaongea maneno kwa lugha na majina yake.
"Darl una uke mtamu" "Mke nipe uke wote" inaweza isimsisimue mtu kulingana na makuzi yake kama "Dar k*ma yako tamu" na "Nipe k*ma yote.

Sijui, halafu kabla ya gemu, andaa formation mkuu...cheki hata vitabu vya mikao. Kama mara nyingi huwa unam dominate, jaribu kumpa style za yeye kutawala kwanza. Kama vile aikalie kwa kukupa mgongo (anaweza kumvutia hisia Mandingo) akafika.
Anza kumpiga za kihuni huni, mixer kumfunga mikono na tie.Ingawa mko wawili ila fanaya kama kuna jukwaa linatazama kazi na sanaa yako
 
Kakwambia ili mlifanyie kazi
Angekua anakusaliti asingehangaika kukwambia
Usimuache
 
Back
Top Bottom