Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

Hahahahaaaaa.....! Kweli kuwa uyaone.
 
Punguzeni kuwazia ngono tu kutetea ujinga wa maisha ya mwanamke, kwani yeye ni roboti tu anaeendeshwa kwa rimoti ya ngono. Huu ujinga nauchukia sana maishani, ndio maana sanyingine mtu anaona mahusiano au ndoa ni mzigo, Maisha ni magumu nawewe badala ya kusaidiana myaendeshe vizuri nawewe unajiweka kuwa moja ya magumu ya maisha. Thats stupidity of life to its highest level.
 
Nyie mnaigiza maisha, mwanaume anayoyaweza hayo nampa hongera. Mwanaume naye akiwa hivyo humo ndani akukaliki. Ndoa ya mwanamke asiyejitambua ni aibu sana kwa wazazi.
 
Huyu ana akili za kitoto hajakua nenda nae hivyoo na mchane kabisa maisha ya tamthilia na yauhalisia ni vitu viwili tofauti au nimgonjwa wa akili huyo maana sisi enzi zetu za utoto tukicheki vandame kwenye vibanda umiza tunaenda kupractise kwa anaekuchoza so ulikuwa utoto huyo ninini sasa.
 
Unaishi na mtu ambaye hajui kama ameshaanza maisha na baadae watoto watamtegemea. Mkumbushe kuwa ubibi haip9 mbali na ndoa za kikristu siku hizi zinaachika.
Umenena vyema, maana juzi tulizika rafiki mwingine aliyepatwa na presha mara baada ya mke kuuza kiwanja cha familia bila taarifa kwa mume
 
Ila miaka yake ni above 25
 
Mawazo ya kijinga kabisa sijapata kuona.
 
Kwangu nilikomesha huo ujinga kwa kutoa uchafu wa azam tv, sasa hivi ni mwaka na nusu wameshazoea, maisha na tamthilia havitangamani
Mimi nimemshauri asiunge kifurushi chochote wabakie na local channels wawe wanaoangalia channel za bongo na taarifa za habari.

Ila sijui kama atavumilia kabla ya kuchukua pesa ya matumizi na kuunga bundle la mwezi πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cope nae na wewe igiza hivyo hivyo kama Dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…