Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati niko chuo, nilikua napenda Korean drama. Nikaanza kuwageza ongea yao mpaka wanavyo salimia.

Saiv napenda waingereza wanavyoongea kupitia series zao na sasa naona accent yangu inabadilika kidgokidgo

You feed your brain by what you watch..Ukizoea kuangalia waswahili wanaosutana na wewe ni rahisi ku adopt that behaviour.
 
Unajifunza kutokana unachokiona
Rejea observational learning theory.
Kikubwa ni mtazamo wa huyo mwanamke.
Tamthiloa angalia kwa kupata mafunzo mbalimbali lakini usiende kuyafanya maisha ya tamthilia yakawa maisha yako halisi.
Wale wanaigiza tu kupata pesa na ukute maisha yao ya uhalisia ni tofauti na wanayoyaigiza.

Akili kumkichwa
 
yamekukuta nini? Broo ndoa c maneno ya biblia ndoa ni israel na palestina... Usiish na mwanamke kama ccm na kofia Nitakuelewesha nikipenda
 
yamekukuta nini? Broo ndoa c maneno ya biblia ndoa ni israel na palestina... Usiish na mwanamke kama ccm na kofia Nitakuelewesha nikipenda
 
yaani hapo ni kwako au kwake? unanyanyasika kwako na wewe ni mwanaume au?
wewe ndo unatakiwa kupanga nini cha kufanya nyumbani kwako na si mgeni, mkeo hapo ni mgeni, anatakiwa afuate unachotaka
 
Oa mwingine mkuu ikiwa bado mapema. Hapo una kiazi sio mke. Mambo ya tamthilia yawe maamuzi ya maisha yako na yeye si utaingizwa shimoni siku mhusika anaye mpenda akicheat na yeye ata cheat pia. Huyo mwanamke fikra zake ni finyu sana kwa kweli
 
Mimi nimemshauri asiunge kifurushi chochote wabakie na local channels wawe wanaoangalia channel za bongo na taarifa za habari.

Ila sijui kama atavumilia kabla ya kuchukua pesa ya matumizi na kuunga bundle la mwezi 🤔🤔🤔
Hio sio solution, azam tv wana program zinazoharibu wadada wa kazi na wake zetu hata watoto, sijui wanafanya nn kuwapa hizo addiction, ilifikia pahali nyumbani kwangu siwezi shika remote kuanzia saa 1 jion hadi saa4 usiku, solution piga bei nunua dstv wanaprograms chache zisizo leta addiction, mie nna amani tele sasa
 
Na sisi tunaopenda series za mazombi yuchukue tabia zao? Kujifunza kwa unachokiona ni sehemu ya ugonjwa wa akili, mtu mzima unae fikilia huwezi bebwa na kile unachotizama luningani, tazama luninga kama starehe tu baada ya hapo kafanye maisha yako ya kawaida
 
Subiri aanze kuangalia jua kali aishi km Maria au Madam Simba ndio utajua hujui 🤣🤣🤣
 
Siku akiona huyo Maria de paz kaenda kupigishwa Doggystyle kwa mchepuko basi na yeye ataiga
Pia akimuona Maria de paz kamuua mumewe basi na wewe atakuua ,
Oyaa oyaa oyaa oyaaaaaaa kimbiza Hilo sukule bobuuu
 
Msingi ukiharibika mwenye haki atafanya Nini ! Msingi ukiharibika mwenye haki anatakiwa kuwa imara hivyo jitaidi sana kuzungumza nae ukiona hakuelewi mwezi unaofuata punguza matumizi mwenyewe atashtuka na kifurushi kikiisha usilipie akikuuliza kwanini mwambie mambo yamebana pia unakuwa mkali kwamba sitaki Nije nikukute kwa jirani unasimamia nafasi Yako kama baba na atakuelewa na kuhusu biashara jitaidi kumkadhia sana unampa majukum kwamba nimekufungilia ofisi nawe katika kazi hii utakuwa na majukum haya kama ana akili atajitaidi kuwa mtu wa maongezeko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…