Umenichekesha sana mkuu, loh!Kweli wewe unakinyaa dadaangu, hata avatar yako inakusadifu vema... kapua na kamdomo umekakunja vema kuonesha kuwa hufagili kabisa mambo mashuzi.... saluti kwako
Hahaha tuko wengi jamani sianataniana na mme wake hakuna ubaya
Acha ufala wewe
Ok ila upo serious, na unahitaji ushauri... ungespecify education level ya huyo mke wako, kama shule hamna basi tatizo tutajua anakosa ustaarabu... tafuta siku muweke sawa huku umevaaa sura ya kiume halafu muambie aache mambo ya kifala, amashakua mtu mzima aache kubehave kama mtoto... huenda atakuskia ..... Halafu usiwe na mazoea naye sana, huenda anakuchukulia poa sana ndo maana anafanya huo ujinga..
wewe sikatai
Haya maswali mengine Bwana! Hilo nalo lataka ushauri? Haya tafuta gunzi uzibe 🙂
Kwa hiyo wewe unampa ushauri gani?Haya makubwa yaani asiwe na mazoea na mkewe...so akawe na mazoea na nyumba ndogo aka choo?...maana kule kwetu mpui nyumba ndogo hujengwa pembeni ya nyumba kubwa na matumizi yake ni kujisaidia
Unajua sie wanaume wa ajabu sanaa, yaani mtu analishwa na barmed tena mchana kweupe but akilishwa na mkewe hataki....
Nyumba ndogo ikikujambia mpaka hata mdomoni unachekelea tuu kisa inakupa pampuchi any time u need....mkewe wa ndoa uliyepewa na muumba wako unaona akijamba ni kero...
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Nigongee like bas, nimekuchekesha bure?Umenichekesha sana mkuu, loh!
Natumia simu mkuuNigongee like bas, nimekuchekesha bure?
Umenichekesha sana mkuu, loh!
poa basiNatumia simu mkuu
Poa ukiweza mchukulie dawa ya kunywa yenye kutoa gesi ya manukato !
Kila kitu huwa kina maana yake,na kila mwanamke anatoa dalili zake za kutaka kugegedwa labda yeye anatoa dalili hii ili ujuwe kuwa ana hamu ya dusheshe so chunguza ushuzi unalia sauti gani ?
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
muzaNdugu wana MMU,

Jaza magazeti mdomoni lala nayo kamq unatafuna hivi pili waone technician wa meno wale wanaochonga meno bandia wana vifaa watakutengenezea kuendana na size ya domo lako ambqcho kinazuia kukoroma baada ya muda ukitumia mdomo unazoea jipange siyo ishu ya sh elf kumiWana JF naomba dawa ya kukoroma. Siwezi lala ugenini kwani ni Aibu. Wenye mzaha waache nipate ushauri constructively pls!