Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Huyo ana gongwa Tigo huko nje mchunguze kwanza anajampa coz nati zimelegea kule kunako..... Jidanganye anapumua sasa wakati wenzio wanampumulia kisogoni!

Unataka kusema we hujambagi?
 
Ninakumbuka baada ya kuoa tu babu yangu aliniita na kuniambia kamwe nisije nikatoa matizo ya mke wangu hadharani na hata kama ni kikojozi nimtunzie siri zake nita mwamba akuite na wewe
Kizazi hiki sio kile cha enzi za Nuhu.
 
kama huwa anajamba mbele yako huyo atakuwa mwaminifu katika mapenzi maana kama hakufichi jambo dogo kama hilo basi na mengine atakuwa hakufichi,ila nina wasiwasi na wewe huenda sio mwaminifu katika ndoa kama unadirika kumficha jambo dogo tu la kujamba ambalo kila siku unafanya je mambo mengine itakuaje?
 

Seriously? hii mada haijafungwa?????
 
anautafuta huo ushuzi au unakuja automatic?au valve zake zimelegea?zungumza nae atakuelewa pole sana.
 

Akili yako mbovu wewe.
 
Wewe una bahati sana. Mkeo anakupenda mpaka hana cha kuficha mbele yako. Amejiachia kwako kwa asilimia mia. Ukiona mkeo anakuficha hata kijambo, basi ujue anakuficha mengi.
 
Mkuu mimitungi, Pole kwa mtihani unaoupata kutoka kwa Mkeo. Japo ningeomba kukuuliza yafuatayo:

Je, wakati wa uchumba wenu alikuwa hafanyi haya?

Je, anajamba kwa kutumia sehemu ya mbele au ya nyuma? (nina maana na swali hili)

Je, wakati akila chakula anapenda kushushia na maji hapohapo? Kama ndivyo mwambie aache!

Cha kufanya: Jitahidi kumueleza vizuri ili ajue kuwa upo serious na hilo naamini atakuelewa! Pia unaweza kwenda Hosp. kujua tatizo ni nini zaidi ! Maana nakumbuka nilipokuwa A'level kwenye miaka ya 2000 mwanzoni kuna rafiki yangu mmoja alikuwa akijamba sana tena kwa sauti kama bomu hivi..yaani mpaka duh....!

Hizo ndio changamoto za ndoa Vumilia tu.
 
Mkuu utajiri huo. Hiyo gesi anayotoa anzisha project ya kuikusanya kisha unaikompress unaijaza kwenye mitungi ukauze viwandani. Inafaa sana kwa preservation ya beverages.
 

Poa mtu wangu
 
wewe demuu unamla sana tigo ndo sababu..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…