Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Ukinywa umri unapunguaOh jamani but am big mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinywa umri unapunguaOh jamani but am big mama
Huyo ana gongwa Tigo huko nje mchunguze kwanza anajampa coz nati zimelegea kule kunako..... Jidanganye anapumua sasa wakati wenzio wanampumulia kisogoni!
Ikifika stage ya kujamba kitandani ndani ya shuka mlilo jifunika myache
Kizazi hiki sio kile cha enzi za Nuhu.Ninakumbuka baada ya kuoa tu babu yangu aliniita na kuniambia kamwe nisije nikatoa matizo ya mke wangu hadharani na hata kama ni kikojozi nimtunzie siri zake nita mwamba akuite na wewe
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Ukinywa umri unapungua
Jana mbona ule mrembo ulisepa nae ukaniacha nimekaaa bila mwlekeo aisee leo unalo
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
achana naye oa mwingine asiyejamba
Itangeneze basiAkili yako mbovu wewe.
Mkuu mimitungi, Pole kwa mtihani unaoupata kutoka kwa Mkeo. Japo ningeomba kukuuliza yafuatayo:
Je, wakati wa uchumba wenu alikuwa hafanyi haya?
Je, anajamba kwa kutumia sehemu ya mbele au ya nyuma? (nina maana na swali hili)
Je, wakati akila chakula anapenda kushushia na maji hapohapo? Kama ndivyo mwambie aache!
Cha kufanya: Jitahidi kumueleza vizuri ili ajue kuwa upo serious na hilo naamini atakuelewa! Pia unaweza kwenda Hosp. kujua tatizo ni nini zaidi ! Maana nakumbuka nilipokuwa A'level kwenye miaka ya 2000 mwanzoni kuna rafiki yangu mmoja alikuwa akijamba sana tena kwa sauti kama bomu hivi..yaani mpaka duh....!
Hizo ndio changamoto za ndoa Vumilia tu.
wewe demuu unamla sana tigo ndo sababu..Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
wewe jana si uliniagaaaa