bridgestone
Member
- Feb 6, 2015
- 69
- 37
Kirahisi rahisi hivyo?achana naye oa mwingine
Hahahaasiku akijamba record kijambo chake tukiskie kinalieje tujue ukubwa wa tatizo
umemuingilia sana upande wa pili ndio maana anashindwa kujizuiaNdugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu.
Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu?
Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help