Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
siku akijamba record kijambo chake tukiskie kinalieje tujue ukubwa wa tatizo
 
labda huwa anatest milio yake ikoje kwa hiyo we unaona anajamba sana kumbe ni anabadilisha ringtone tu
 
Mpeleke Hospital mapema pengine vidonda vya tumbo (peptic ulceration ) vinamuanza
 
..anafi.rwa huyo....amebaki kukunyea tu wakati unamkaza....lol...mada nyingine kichefuchefu kweli...
 
mkuu chonga dili na mtoto,mwambieni maza ananisumbua na anajamba sana. Mwambie siku akijamba unamuambie alie kwa sauti maana anasikia harufu mbaya. Hakika mkeo atakoma.
 
Mimi wa kwangu mbona tunajambiana tu,akijamba na mimi najamba,tena ndani ya shuka,lakini twafurahiana.
 
Mmi sioni kama kujamba ni inshu. Tunza na wwe ushuzi akijamba jamba akirudia tena na wwe tena lastly familia yenu itakuwa prominently kwa kujamba. Ila usiache mke kwa illogical argument kama hizoooo
 
Ukute labda ana shida alaf mkawa mnachukulia powa na hiyo hali labda inamjia involuntary anashindwa kujizuia embu jaribu kuongea nae kwa ustaarbu tu kwanza labda mtapata suluhisho
 
Ndugu wana MMU,

Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu.

Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.

Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.

Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu?

Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?

Please help
umemuingilia sana upande wa pili ndio maana anashindwa kujizuia
 
Mbona kujamba mwanamke kawaida sana tu....tena akijamba cha sauti kubwa wengine twapata msisimko wa kugegeda.Me sio mpenzi sana wa kugegeda ila jamaangu ndiye ananishawishi na ameshajua udhaifu wangu.Kama ana hamu ya kufanywa anaachia likubwa nami hapohapo nayapapasa matako yake na lijamaa ladinda lataka pasua chupi, kazi moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom