Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Smile jamaniiii ndo ushauri huo kwa mwanamke mwenzio yaani hivvi huyu nndg alitaka mkewe kajambe kwa nani. Yyuko huru huyo mwanamke kwa mme wake alaaaaaah.
 
ULIPOKUWA UNAMTONGOZA ULITUSHIRIKISHA? TATUENI HILO TATIZO KIMYA KIMYA.HUO NI UBAVU WAKO! TAMBUA NAWE NI MTAALAMU WA KUACHIA USHUZI KAMA ASEMAVYO MKEO NI KWELI.!
 
Ongea nae serious mkiwa out of bed. Labda seblen mnakula au sehemu nyingine. Mkeo anaumri gan mkuu?
 
Mkuu nimesoma na kusikia sehemu mbalimbali, hata humu JF kuna topoki hiyo. Kwamba mwanamke akiwa anajamba sana mchunguzi pengine keshafumuliwa marinda. Kuwa makini sana ndugu na hilo
 
Taarifa zilizopo wametimuana,,,mke karud mza .....wa mwanza aendeleze sebene..
Pole lakini kiongozi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…