matamauruke
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 348
- 211
Mkuu hii Kali sana umetisha!Asijambe vp kutwa maharage,sasa sikia yeye akijamba Wewe kunya kabisa sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii Kali sana umetisha!Asijambe vp kutwa maharage,sasa sikia yeye akijamba Wewe kunya kabisa sawa
Ha ha haaaachana naye oa mwingine asiyejamba
ULIPOKUWA UNAMTONGOZA ULITUSHIRIKISHA? TATUENI HILO TATIZO KIMYA KIMYA.HUO NI UBAVU WAKO! TAMBUA NAWE NI MTAALAMU WA KUACHIA USHUZI KAMA ASEMAVYO MKEO NI KWELI.!Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakini huu utani wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...
Nipeni ushauri wadau.... Nampenda sana mke wangu.
Mkuu nimesoma na kusikia sehemu mbalimbali, hata humu JF kuna topoki hiyo. Kwamba mwanamke akiwa anajamba sana mchunguzi pengine keshafumuliwa marinda. Kuwa makini sana ndugu na hiloMimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakini huu utani wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...
Nipeni ushauri wadau.... Nampenda sana mke wangu.
Aisee! Jamaa aligundua kitu?Taarifa zilizopo wametimuana,,,mke karud mza .....wa mwanza aendeleze sebene..
Pole lakini kiongozi