umeona mama kuna wanawake wanakula utadhani ugomvi kumbe anaenda tu kulala
matokeo yake ndo hayo kumpigia mumewe vuvuzela usiku kucha
wacha watu wawe na nyumba ndogo sasa!
mwambie amuone dokta ni dalili ya vidonda vya tumbo
pia mwambieaache kula ovyoovyo asione amefika saaana hapo!
by the way umepata ring tone weka kwenye simu kama alarm!
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.