Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
nimechekaaaaaaaaaa, kweli kazi ipo, tena kubwa mnoooo! loooool!
 
Reactions: awp
Ndo maana nikasema...watu wa humu wanapenda sana kujibu kwa kejeli. Hapa ni kipi kikuchekeshacho sasa....ona macho yako....huna lolote!..ndo umwambie dadaako aache kujamba la sivyo ntamrudisha kijijin kwenu akalime
 
Hahahahahahah...hicho n kipaji...teh teh teh...job true true
 
Kama namiona.. wife anajikusanya ili apumue loo..
 
Ndo maana nikasema...watu wa humu wanapenda sana kujibu kwa kejeli. Hapa ni kipi kikuchekeshacho sasa....ona macho yako....huna lolote!..ndo umwambie dadaako aache kujamba la sivyo ntamrudisha kijijin kwenu akalime
godoro-la-comfy
Watu hawajibu ovyo bila sababu, hapa unasema mkeo anaharibu hali ya hewa usiku.... kwenye ile thread nyingine unasema wanawake mjitahidi kuwa presentable kwa waume zenu...
what the heck!
 
Last edited by a moderator:
Inavyoonekana wewe na mkeo hamna mawasiliano mazuri au mkeo hakuheshimu au amekuzoea sana mpaka anaona yupo huru kufanya lolote mbele yako.
Haya mambo mengine ya kusuluhisha hukohuko chumbani bwana si kuanikana hadharani..Lazima ulimuachia ukamuendekeza tangia mwanzo alipokuwa akichafua hewa,Kama ni kitu ambacho hupendezwi nacho ulitakiwa umjulishe tangia awali na ni wajibu wake akusikilize.Lazima kuwe na mipaka ya kila kitu..
 
Ndo maana nikasema...watu wa humu wanapenda sana kujibu kwa kejeli. Hapa ni kipi kikuchekeshacho sasa....ona macho yako....huna lolote!..ndo umwambie dadaako aache kujamba la sivyo ntamrudisha kijijin kwenu akalime

mpe elimu kuhusu ozone layer na jinsi ya kutunza mazingira anapofanya airpollution next time waite watu wa mazingira
 
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Katika wanaume wa.pu.mba.vu sana, wewe ni mmoja wao. Hata kama hatuweki majina halisi humu bado haihalalishi kuleta vitu vya ndani kabisa ya ndoa yenu!

Sasa unategemea ushauri gani?!

Namuonea huruma mkeo! Na watoto, ambao ni mbegu zako!

Kweli walimu wana kazi ngumu!
 

nunua mtungi wa oxygen uwe unavaa mnapolala.....dah,inaonekana pia mkeo eksozi yake iko loose!!!!!!!!n'way si mnataniana?hakuna shida ila siku nyingine na wewe mjambie vilivyo
 
mh I am worried kuna evolution ina-take place kwa wanaume!how can you share inside stories za wife wako na jamii hivi?hata kama hutumii your real name,but this dictate your mind!so sorry for the wife,kuolewa na such a boy!
hata hivyo he spoke his mind...inawezekana that the best he can think of!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna wanawake humu...wamecheka sana baada ya kusoma thread hii. It means nimewagusa sana. Na inanifanya nione kumbe ni tabia tu ya wanawake wote. Ndo maana yake..koz sioni cha kuwafanya mcheke nyie wanawake. Tafadhali..achani tabiavza kuwajambia wamme zenu kitandani...sio poa hata kidogo
 

Mngese kweli wewe.....mambo ya chumbani kwako yanatuhusu nini sisi.......yaani ungekua karibu ningekunasa kibao......huwezi kuja kumuaibisha mke wako huku........mbona yeye anakufichia siri zako.....au unajiona wewe uko perfect....sasa kwa taarifa yako kujamba ni afya.
 
hayo ni mambo ya kitoto sana siyo ya kuleta sehemu kama hii,wewe una umri gani kwanza inawezekana wewe pamoja na mkeo wote ni watoto????????????????????????kaa chini tafakari na uchukue hatua
 
nimefurahi sana mana nimecheka hadi nimepata mafua lol

ila siku nyingine

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…