Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
godoro-la-comfyNdo maana nikasema...watu wa humu wanapenda sana kujibu kwa kejeli. Hapa ni kipi kikuchekeshacho sasa....ona macho yako....huna lolote!..ndo umwambie dadaako aache kujamba la sivyo ntamrudisha kijijin kwenu akalime
Ndo maana nikasema...watu wa humu wanapenda sana kujibu kwa kejeli. Hapa ni kipi kikuchekeshacho sasa....ona macho yako....huna lolote!..ndo umwambie dadaako aache kujamba la sivyo ntamrudisha kijijin kwenu akalime
mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.
hata hivyo he spoke his mind...inawezekana that the best he can think of!!!!!!!!!!!!!!!mh I am worried kuna evolution ina-take place kwa wanaume!how can you share inside stories za wife wako na jamii hivi?hata kama hutumii your real name,but this dictate your mind!so sorry for the wife,kuolewa na such a boy!
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.