Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda ana vidonda vya tumbo..kama tumbo lake litajaa gesi ni lazima hali hiyo itokee hasa kwa vyakula vyetu vya kibongobongo ni vyema mkaenda hospitali kujua tatizo liko wapi..?...mtunzie heshima mkeo jamani....
Kuna mzee mmoja wa makamo ashawahi kuniambia kuwa mwanadamu anayeficha kujamba, mtu huyo ni msiri sana.
Sasa huenda mkeo sio msiri au hana hulka ya usiri kama ulivyo wewe ndio maana kwake kuachia mashuzi sio suala la kuhitaji sitiri.
HAHAHAH asije akwa anaachia ushuzi hata kwenye daladala huyo, uwiiiiiii lol
Nilifikiri unasema ati anakunya bila kutawadha kumbe ni kutoa pumzi tu? Hujui asipo jamba atavimbiwa? Unampenda kweli huyo mkeo?
Kama ana sura nzuri, mashine yake saafi, tena ina rutuba kwani keshakupa mtoii una shida gani na ushuzi wake? Kama unampenda, akitoa tena hiyo harufu mbele za watu msifie sana kuwa ni kama harufu ya perfume ya bint el sudan.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atachukia mtu kutoa pumzi.
Mpende mkeo weyee
Hapa ndipo nilipocheka jaman duuuh. Duniani kuna wachekeshaji aisee
Kujamba labda niwe usingizini otherwise siwezi mpk niwe peke angu.