Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
labda ana vidonda vya tumbo..kama tumbo lake litajaa gesi ni lazima hali hiyo itokee hasa kwa vyakula vyetu vya kibongobongo ni vyema mkaenda hospitali kujua tatizo liko wapi..?...mtunzie heshima mkeo jamani....

Genius
 
Kuna mzee mmoja wa makamo ashawahi kuniambia kuwa mwanadamu anayeficha kujamba, mtu huyo ni msiri sana.

Sasa huenda mkeo sio msiri au hana hulka ya usiri kama ulivyo wewe ndio maana kwake kuachia mashuzi sio suala la kuhitaji sitiri.

Mh!Kama inafaa?
 
Mkuu c bure hiyo hali...
Akujambie wewe tuu tena mkiwa ndani wawili???
Hiyo Labda kwake ni burudani pekee ambayo kazoeshwa...!!!.
Jitahidi mweleane na umsaidie abadilike...
 
Duu we kaka kiboko! Kisa cha kumuacha mkeo uchi???
 
godoro la Comfy hilo....hebu jaribu godoro la Dodoma....
 
Nilifikiri unasema ati anakunya bila kutawadha kumbe ni kutoa pumzi tu? Hujui asipo jamba atavimbiwa? Unampenda kweli huyo mkeo?
Kama ana sura nzuri, mashine yake saafi, tena ina rutuba kwani keshakupa mtoii una shida gani na ushuzi wake? Kama unampenda, akitoa tena hiyo harufu mbele za watu msifie sana kuwa ni kama harufu ya perfume ya bint el sudan.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atachukia mtu kutoa pumzi.
Mpende mkeo weyee

Hahahahahaaaaaaa
 
Daaa sisemi kitu ngoja nikioa nikikutana na hali hiyo sijui itakuweje af ndani ya blanket moja oooops ---- Unaharibiwa hewa ukiamka asubuhi dhoof il hali
 
Huyo atakua kada wa ccm maana wanawake wa ccm kwa kujamba hawajambo
 
Pole ila nakushangaa mpenzi ambae nimsiri kiasi kwamba hawezi jamba mbele ako unadhani atakua muwazi kwa fedha na mengine?ikiwa kujamba nilazima anaficha hayo mengine je?shukuru hata anajamba mbele yako
 
Wana JF mara nyingine tuwe na mtizamo positive,huyu ndugu ameleta tatizo lake badala ya kujadili tatizo lake tunaanza kumjadili yeye,na namna alivywasilisha tatizo nadhani hatumsaidi kutatua tatizo lake.Nimeangalia kuna mmoja wetu(byb sac) angalau ametoa mwangaza wa nini inaweza kuwa tatizo na kumsgauri cha kufanya.Nami nakubaliana na alichosema BYB SAC kujamba ni dalili ya gesi tumboni ambayo mojawapo inaweza kuwa vidonda vya tumbo,typhoid sugu hasa kutokana na mazingira aliyopo(maji au aina ya chakula na eneo analokula chakula).
Kuna dawa nyingi siku hizi za kutibu tatizo la kujaa gezi tumboni zingine za hospitali (magnesium,n.k) au tiba mbadala zinatotzangazwa sana siku hizi hebu jaribu moja baada ya nyingine halafu utupe mrejesho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom