Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
tatizo inaonyesha unamlisha maazi , maharage kila sku... haki yake kukujambia tu.... tena kitu cha yusuf
 
Kuna wanawake humu...wamecheka sana baada ya kusoma thread hii. It means nimewagusa sana. Na inanifanya nione kumbe ni tabia tu ya wanawake wote. Ndo maana yake..koz sioni cha kuwafanya mcheke nyie wanawake. Tafadhali..achani tabiavza kuwajambia wamme zenu kitandani...sio poa hata kidogo
Wanakucheka kwasababu unaonesha udhaifu wako na kiasi gani ambavyo hujapevuka kifikra...Na kama ungekuwa unalitambua hilo usingeandika hili uloliandika....
 
Mngese kweli wewe.....mambo ya chumbani kwako yanatuhusu nini sisi.......yaani ungekua karibu ningekunasa kibao......huwezi kuja kumuaibisha mke wako huku........mbona yeye anakufichia siri zako.....au unajiona wewe uko perfect....sasa kwa taarifa yako kujamba ni afya.
Halafu siyo busara haya mambo mengine alitakiwa kuongea na ye huko huko chumbani, pengien hata na yeye ana siri zake ambazo mke wake anamtunzia, je na mke wake akizileta humu patatosha.

Huyu mwenzetu hajui ni kwanini mwanaume amepewa koromeo kubwa kuliko mwanamke.
 
Ukifanikiwa kumshauri na akafanikiwa kuacha kukujambia hiyo usiku, USISITE KUTUPA TAARIFA KWA KUFANIKIWA KUKOMESHA HIYO TABIA YA MKEO.
 
Godo la comfy umenikumbusha lile tangazo la yule jamaa Dr. Seba ameenda kwa Daktari mzee kambi akimgusa sehemu yeyote jamaa anaumia lakin dawa akapewa akatumie godoro la comfy ha ha ha ha ila jamaa aliyekufundisha marketing yupo fiti maana mada kama hz za kujam kujam zinakuwa na wachangiaji na view nying sana kwahyo promo inafankiwa.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
too much! haya mambo ni ya ndani sana, kwa nini unamdhalilisha mwenzako kiasi hiki? mh! si mchezo !
 
Umejiunga jana tu leo unapost 17, hongera sana, umejitahidi. Kwa spidi hii wanajamvi tujiandae kusoma vitu vya ajabu ajabu kama hivi vingi tu.
 
ha ha haaa
ha ha haaaaa
hii ni balaa sasa halafu anainuka kimya kimya anaenda zake job,
na ikiwezekana apige simu huko huko kuwa leo nasafiri kidogo kikazi.

kashauriwa eti na yeye amnyee kitandani, ndio bi dada akili itamkaa sawa! nimechekaje thatha mimi?
 
Duh!kuelekea 2015 tutajionea mengi!kwan una umri gani mkuu,na ulioa ukiwa na umri gani?
 
Cjui akianza kukata na gogo kitandan utaomba ushauri pia..
 
kaka usilalamike, na hi hali ya umeme kukatika ovyo bora mtengeneze umeme!!!gesi ya mtwara kitu gani bwana watu wanazo zao hom!!!
 
Nimesoma page zote za hii post nimecheka kiasi kutokana na masihara yaliyoandikwa humu, ila nimewaza tuu............ hivi wanyama kama nyani, ng'ombe, mbwa n.k. pia huwa wanajamba? are animals farting? ma just curious to know kwa wanasayansi tafadhali naomba jibu.

Muanzisha mada siku nyingine uzi kama huu uwe unaupeleka kule jukwaa la utani watyu wangekujibu na ungepata suluhisho latatizo lako maana ingekuwa ni utani ila wewe unatafuta suluhisho huku umekosea sana ndo maana watu wamekujibu kwa ukali na masihara zaidi. Tizama wanaume wenzako walivokuwa disappointed na wewe, na wadada ndo wanakucheka na wengine kujiskia vibaya maana umendhalilisha mwanamke mwenzao.
 
sio kila kitu kinachokutokea katika maisha yako cha kuja kushare na sisi vyengine vunga
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.

Ongea naye vizuri inawezekana, ni kitu ambacho anashindwa kujizuia.
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.
siri za chumbani...brother unyago hujapitia wewe,huoni aibu kuweka mambo ya chumbani kwako tena ya siri adharani,ndo maana nyumba zina ukuta,nzile kuta nne zina ficha mengi.tuwe na mipaka
 
mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.

pole sana mkuu,,

too much of anything is harmful,,,,najua umevumilia yamekushinda,,,jaribu kuchunguza backgroung ya mke wako inawezekana alishawahi kuliwa kabaang,,,imemletea madhara mpaka natii zote zimelegea sehemu za mkiani,,,,wakati mkiwa mnafanya tendo la ndoa jaribu kuielekeza dusherere sehemu za mkia,,,ukiona imeingia alafu katulia tu kama kamwagiwa maji,,basi huo mchezo anaucheza na ndio unaomletea hayo madhara,,,mpeleke hospitali akapigwe bomba asafishwe,,atapona tu
 
Mwenza wako kujamba jamba "pyuuuuuu" wakati wa kugegedani tatizo ni nini?
kaa mkao huu ....pyuuuuuuuuu......geuka hivi ...pyuuuuuuuuuuuu...ukicheka ni so inabidi kuuchuna.

TATIZO Ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom