Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakucheka kwasababu unaonesha udhaifu wako na kiasi gani ambavyo hujapevuka kifikra...Na kama ungekuwa unalitambua hilo usingeandika hili uloliandika....Kuna wanawake humu...wamecheka sana baada ya kusoma thread hii. It means nimewagusa sana. Na inanifanya nione kumbe ni tabia tu ya wanawake wote. Ndo maana yake..koz sioni cha kuwafanya mcheke nyie wanawake. Tafadhali..achani tabiavza kuwajambia wamme zenu kitandani...sio poa hata kidogo
kashauriwa eti na yeye amnyee kitandani, ndio bi dada akili itamkaa sawa! nimechekaje thatha mimi?Lazima ucheke,
loooh dada anafukia msosi
usiku jamaa nakomaje.
Halafu siyo busara haya mambo mengine alitakiwa kuongea na ye huko huko chumbani, pengien hata na yeye ana siri zake ambazo mke wake anamtunzia, je na mke wake akizileta humu patatosha.Mngese kweli wewe.....mambo ya chumbani kwako yanatuhusu nini sisi.......yaani ungekua karibu ningekunasa kibao......huwezi kuja kumuaibisha mke wako huku........mbona yeye anakufichia siri zako.....au unajiona wewe uko perfect....sasa kwa taarifa yako kujamba ni afya.
kashauriwa eti na yeye amnyee kitandani, ndio bi dada akili itamkaa sawa! nimechekaje thatha mimi?
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.
siri za chumbani...brother unyago hujapitia wewe,huoni aibu kuweka mambo ya chumbani kwako tena ya siri adharani,ndo maana nyumba zina ukuta,nzile kuta nne zina ficha mengi.tuwe na mipakaMimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.
mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.