Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
maisha yetu ya kiswahili yana tabu sana mkuu.sasa ndo ukute mtu keshajipigilia ugali njugumawe,mara magimbi mara maboga kwanini mtu asitoe gesi ka ya mtwara?

huo ndo ukweli mkubwa, kuna wakati tunakula utadhani hatutokula tena maisha yetu yote!

Elimu Ndogo!
 
Sasa yamekushinda yepi hasa.....kitu kidogo tu hadi ukilete JF jamani?
 
Binafsi sijawah kujamba mbele ya mme wangu na kiustaarabu zaidi mtu anaposkia hali hyo anatakiwa kunyanyuka,akatolee ushuzi mbali thn ndio arudi,huyo. Mkeo hana maadili haki ya yesu,mtt wa kike utajambaje mbele ya mmeo,ngumu kumesaa,hana adabu,akijamba mpe kelbu ya maana ili aogope kurudia mbele yako,we utakua unamlemazia
 
Wewe unakuja humu kutoa siri za ndani za mwenzio, je naye akitoa za kwako utajisikiaje? Tujuze kwanza huyo mwanamke unaishi naye tu au umemuoa kwa ndoa, maana waliooa kwa ndoa takatifu hawako hivyo wamepitia mafundisho muhimu.
 
Haachwi mtu hapo......we wamlisha maharage kila siku unafkiri hatajamba??? Vilevile unataka kutuambia kwamba unatumia mini kabang au???
 
Binafsi sijawah kujamba mbele ya mme wangu na kiustaarabu zaidi mtu anaposkia hali hyo anatakiwa kunyanyuka,akatolee ushuzi mbali thn ndio arudi,huyo. Mkeo hana maadili haki ya yesu,mtt wa kike utajambaje mbele ya mmeo,ngumu kumesaa,hana adabu,akijamba mpe kelbu ya maana ili aogope kurudia mbele yako,we utakua unamlemazia
Pengine anamjambia hivyo kwa kuwa ni yeye ndiye aliyemharibu.
 
Karaha ni mbaya sana haswa ikifanywa kwa makusudi, iwe kwa mke au mume.

Unaweza kupima lakini kama ni mgonjwa au mzima, maana mambo mengine yanayohusu maumbile yanakuwa ni ugonjwa na anashindwa kujizuia. Kama anafanya kusudi ni heri ukampa onyo kali kabla hujachukuwa hatua za kuachana.

Kama wewe hakusikilizi unapomuonya ongea na wazee wake kabla hujachukuwa hatua yoyote ya kuachana.
Nitawaelezaje wazee? Niwaambie mke wangu anajamba? Ndio maana nimeileta hapa ambapo hatufahamiani kwa sura.
 
hayo ndio mambo ya KUVUMILIANA ktk ndoa so usimharibie pozi mkeo aisee! muache ajiachie kwa raha zake kuna wengine hawapati huo ushuzi sasa km yeye anapata muache, mpe uhuru, sio maradhi hayo kaka..ni km kupiga miyayo tu...ok?
kama ushuzi ni kama kupiga miyayo, kauachie kwenye interview alafu uje uniambie..!!!
 
Mijitu mingine bwana, sasa mkeo kujamba ni kosa? yaelekea haumpendi tena una kisasi naye ndiyo maana umesema umeamua kunyamaza tu kimya...hicho ni mkisasi tena kibaya sana ..kitawaporomoa kimaisha mkija kushtuka mna wajukuu.

Mkuu, naomba ushauri, mbona unanihukumu?
 
images

Tumia Air freshner... zipo za vyumbani na zipo za kunywa akinyamba tuu!! hutoa haraufu ya mawardi !!
images

Wazo la airfreshiner nimelipenda mkuu, thanks
 
Je huyo ni mkeo kweli unayempenda? Acha ujinga,je wewe ujambagi? Unataka avimbiwe kwa kukyogopa wewe? Na je unataka ajiachie kwa nani sasa? Mbona haukui? Hii si sehem ya kumshushia mkeo heshima,ungejiposti wewe mwenyewe,inaonekana haumpendi uyo mwanamke,mbona ni marashi kama uyatoayo wewe? Na je unajua madhara ya kutokujamba wewe? Au unamfungua buti ndo mana unamwona kinyaa baada ya kumwaribu? Kwa ushauri wa bure kama kweli unampenda mkeo,ebu jaribu kubana icho kijambo chako kwa siku ata mbili,kisitoke ata cha psiiiiiii,ndo utapata majibu ya kwa nini ajambe.
 
Kujamba raha ati! Bana ushuzi uone utavyopata shida na kukimbilia kwa ndugu dakitari, lol
 
mimi pia huwa najamba sana tukiwa wawili chumbani kwetu na mke wangu huwa ananivumilia ila natamani huyo mkeo angekuwa ndo wangu sipati picha humo chumbani kungenukiaje hahahahahaaaaaaaaaaaaa

sidhani kama kuna mbu angebaki hai hata mmoja humo chumbani mwenu
 
Akijamba na ww jamba,inakuwa ni sehemu ya michezo yenu km wanandoa ivyo hutoona kero tena
 
ndugu wana mmu,
nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

mlete kwangu nnakizibio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom