Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha yetu ya kiswahili yana tabu sana mkuu.sasa ndo ukute mtu keshajipigilia ugali njugumawe,mara magimbi mara maboga kwanini mtu asitoe gesi ka ya mtwara?
Haya maswali mengine Bwana! Hilo nalo lataka ushauri? Haya tafuta gunzi uzibe 🙂
Pengine anamjambia hivyo kwa kuwa ni yeye ndiye aliyemharibu.Binafsi sijawah kujamba mbele ya mme wangu na kiustaarabu zaidi mtu anaposkia hali hyo anatakiwa kunyanyuka,akatolee ushuzi mbali thn ndio arudi,huyo. Mkeo hana maadili haki ya yesu,mtt wa kike utajambaje mbele ya mmeo,ngumu kumesaa,hana adabu,akijamba mpe kelbu ya maana ili aogope kurudia mbele yako,we utakua unamlemazia
Nitawaelezaje wazee? Niwaambie mke wangu anajamba? Ndio maana nimeileta hapa ambapo hatufahamiani kwa sura.Karaha ni mbaya sana haswa ikifanywa kwa makusudi, iwe kwa mke au mume.
Unaweza kupima lakini kama ni mgonjwa au mzima, maana mambo mengine yanayohusu maumbile yanakuwa ni ugonjwa na anashindwa kujizuia. Kama anafanya kusudi ni heri ukampa onyo kali kabla hujachukuwa hatua za kuachana.
Kama wewe hakusikilizi unapomuonya ongea na wazee wake kabla hujachukuwa hatua yoyote ya kuachana.
kama ushuzi ni kama kupiga miyayo, kauachie kwenye interview alafu uje uniambie..!!!hayo ndio mambo ya KUVUMILIANA ktk ndoa so usimharibie pozi mkeo aisee! muache ajiachie kwa raha zake kuna wengine hawapati huo ushuzi sasa km yeye anapata muache, mpe uhuru, sio maradhi hayo kaka..ni km kupiga miyayo tu...ok?
Mijitu mingine bwana, sasa mkeo kujamba ni kosa? yaelekea haumpendi tena una kisasi naye ndiyo maana umesema umeamua kunyamaza tu kimya...hicho ni mkisasi tena kibaya sana ..kitawaporomoa kimaisha mkija kushtuka mna wajukuu.
![]()
Tumia Air freshner... zipo za vyumbani na zipo za kunywa akinyamba tuu!! hutoa haraufu ya mawardi !!
![]()
mimi pia huwa najamba sana tukiwa wawili chumbani kwetu na mke wangu huwa ananivumilia ila natamani huyo mkeo angekuwa ndo wangu sipati picha humo chumbani kungenukiaje hahahahahaaaaaaaaaaaaa
ndugu wana mmu,
nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help