Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
 
Hujamkopesha ,umempa vidonge vyake-Baba/Nabii mkuu kabisa/Muheshimiwa / Mchungaji Gwajima.
 
Back
Top Bottom