Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
mimi nishaga mpa huu ujumbe.

Nilimwambia unalinga sana, Imagine ningekukuta una miaka 18, point ilikuwa nampa tu ujumbe kuna mabinti wengi sana, na mishangazi hata wajane
 
Nyie ndo mna tatizo la homoni matangazo ya dawa za nguvu za kiume yapo kila kona ya mitaa
Hao wanatafuta namna ya kuishi, ukifika South Africa Sangoma kila kona haimaanishi South Africa kuna wachawi sana.

Mimi naandika reality, kwenye issue ya kunyimana nadhani kuna tatizo la homoni kwa wanawake, hii siyo ligi.
 
Tangu enzi hamjawahi kuridhika na k moja ndivyo mlivyo hata mpeweje hebu acha visingizio na bora babu zenu waliweza kuziparura vilivyo ola nyie sasa mnaishia kupapasa tu ila ndo vitombile mnajiaibisha tu

Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la dunia nzima
 
Utakuwa umeamka na hangover, hoja siyo kuwa kitombi, hoja baadhi ya wanawake kuwapa K kwa mgao kama wa Dawasa waume zao.

Hoja yangu nahisi kuna tatizo la homoni linawakabili wanawake, kwenye homoni kuna mambo mengi ikiwemo kukosa hamu ya tendo, sasa wewe unachanganya na ugoro unaondoa hata hoja yangu ya msingi ilikuwa ni nini.

Maswala ya kuridhishana ni mambo binafsi ya mke na mume usichanganye wanaume wote.
 
Kaka sitaki ligi katika hili ukinyimwa kuna anaepewa wanawake wa kizazi hiki tunapenda sana mikito kuliko kizazi chochote kuwahi kutokea hoja yako haina ukweli na ndio nimekwambia suala la homoni linawahusu nyie wanaume
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Mtafutiae mchepuko mwenye uchi mzuri alafu sura ya kawaida sababu inaonyesha mbususu yake sio tender
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Pole sana ndo ukubwa huo
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Huyu ni mkeo halali au ulilazimishwa mkuu
 
Aliyeandika hii thread ni wewe au yeye? Kama ni wewe namuonea huruma huyo binti wa watu!
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Mm wangu nilichana isee waziwazi sipendi kupinda pinda... maana alizidi mnomno..
Sahivi kila tukiongea anasema unadharau sana wewe mwanamme.!
Ila amepoa kawa mdogo kama pritoni.
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Kazi unayo
 
👿👿Mke mkerembeshe, ukimshindwa anakuwa mkemia, kila kitu ana uwezo wa kukitambua, hakuna demokrasia kwenye ndoa, hata adamu aliishi na mke wa pili, kuna aliyeumbwa sambamba nae kwa udongo(mzo 1:27) na yule aliyetolewa ubavuni mwake (Mzo 2:21-22)
Mimi nilifikiri aya hii ilimaanisha mtazamo wa kisayansi kuhusiana na chromosomes y na x (MWANAMUME na MWANAMKE) lakini kumbe alimuumba pia mwanamke ambaye hakupewa jina kama Hawa alivyopewa? Huyu mwanamke hakuongelewa kabisa katika kile kitabu na hata madhehebu na dini zote hazimwongelei kabisa.

Nafikiri unaweza kuleta ufafanuzi katika suala hili ukisaidiwa na Mkuu Mshana Jr . ninapenda kujuwa zaidi.
 
Maskini dada wa watu naye anaona ana mume anayemheshimu kumbe anakuja kusimangwa humu, kuna baadhi ya wanaume ni mtihani kwa kweli. Yaani mwanaume unaanzisha uzi kama huu, jamani wanawake tuna kazi wooh
 
Back
Top Bottom