Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

Anajiona mzuri kuliko baamedi sababu hashindi na walevi, ndiomana ukaacha baamedi ukamuoa yy.
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Atakua mjita
 
Mleta mada futa kabisa hii kauli.
Hicho ulichokiandika ni miongoni mwa kauli mbaya kabisa kutolewa na mwanaume aliyeoa dhidi ya mwanamke ambaye ni mke wake.

Nakuambia hivi, mkeo ni mzuri kuliko wanawake wote unaowajua wewe. Na mkeo yuko sahihi kabisa yeye kujiona ni mzuri kuliko wanawake wengine wote mbele yako.

Kama huamini hicho nilichokuambia hapa, jipe muda ipo siku utakuja kuelewa na kukumbuka hichi nilichoandika hapa.
 
Na ukute Ni mzuri kwelikwelii
 
Acha uboya master.

Hakikisha kila siku akikupigia simu pokea mwambie uko makumbusho.
Akikuuliza unafanya nini, mjibu tu aisee huku kuna pisi kali balaa afu zinajua na kunyuka pamba.
Hivyo kuna time unakaa kuchangamsha ubongo na kupooza majuto ya kuwahi kuoa
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Muache ili uonekane ngangari.
 
Kwa makasiriko haya ni wazi umenyimwa k kwa muda usiopungua mwezi mzima, wanaume mnapenda k jamani kah
Wewe unaona ni sawa kwa mke kumnyima mume nyapu?

Hawa mankoli waliojaa mitaani tukipita nao mtamlaumu nani sasa?
 
Mwanamke Asili yake kulinga abembelezwe adeke Afurahi na Kuna Muda audhike Awe ajue akiwa na Shida Kuna Sehem Atapata Wa kumtuliza Akili yake hata awe na Pesa vip Mwanamke ndio uhalisia Wake hata awe Mkuu Kwenye vitengo nyeti Kwenye Dunia Hii Lazima Iwepo Wa Mwanaume Mtulivu Mwenye Akili uwepo. ndo Maana biblia Inasema ishini na Wake Zenu Kwa Akili
 
Mimi kuona mtu wa kawaida mpaka nimle. Kabla ya hapo namuona mzuri kichizi. Daah
 
Back
Top Bottom