Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

Nimesoma Nikaelewa, Baadae nikachanganyikiwa.

Mke kama mke anakuleteaje Ujuaji mwwnye mali? Au Hautimizi Majukumu yako kama mume? Ikiwa unatimiza majukumu yako Basi amekuchoka/ameichoka ndoa.

Achaneni kwa maslahi mapana, msije kuuuana.
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
🤣🤣🤣
 
Nyote mna miaka mingapi?
 
jf waongeze na kipengele cha kujua umri wa members.utumbo.
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
chai
 
Wewe ndiyo tatizo ndiyo maana una lalama hawi huru kuwa na wewe mbele za watu
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah watu mna vituko Sana aiseeee Sasa ulitaka ajione mbaya mbele yako.....hakuna mwanamke anayejiona mbaya Kwa mwanaume wake
 
nimepitia comment za wadau humu ila nasikitika kuwaambia ukiona mwanamke anasema kachoka au anaanza leta maringo ni dalili z kutrombewa au kuonekana huna thamani....... sasa vijana wenzangu wanaona kawaida kwakua sio wanaume kamili....
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Mkeo anakuringia how?
Unataka kumuwinda kwa manati kuku unayemfuga mwenyewe?
 
Back
Top Bottom