Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

You always give me impression kwamba una enjoy sana kusoma comments rather than engaging yourself in most of conversation in here. Tena the fun ones ndo unazipenda zaidi. Been stalking you for a while. Forgive my bad behaviour, haha
Zawadi ikufikie wapi mkuu ?? Umenitafsiri ambavyo mtu yeyote anayenifahamu Inperson angeweza kunidescribe!

Mimi kwa kweli socia media's kwangu ni comment section, huwa nacheka mnooooo! Ndio maana mitandao ya picha/ video inanishinda... like what am I suppose to do with your pictures / videos. ?

Kudos champ!
 
Nashukuru kama nimepatia, Nipo mkoani saivi kidogo ila kama i wont be indulging your privacy, a coffee date ya hata half an hour inanitosha with such exquisite mind nikirudi. I will just let you know my schedule nikirudi then uta decide mwenyewe. And i am not saying itashindikana but ikishindikana for your personal reasons, i will settle na zawadi ya kuwa rafiki yako wa humu dunia ya JF. I will be honored to be honest.
 
Last part, good idea.... kwa kuanzia... if you know you know 😅😅😅

Ila coffee date napendajeee? I will see how long I can resist it.. stay safe.
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
Umenikumbusha mbal sana. Nliwah kumwambia mke wng hvyo.
 
Yani wewe umemchoka mkeo tayari acha kuzuga tu, hizo sifa pengine ulimjaza wakati unamfukuzia na penzi lipo hot kwanini hasijione mzuri kwako uliyemuaminisha apart from that kuna wanaokusaidia kumpa hizo sifa uko nje wakati wewe unamuona wakawaida anachofanya ni kama msg kwako kuwa anytimd ukizingua nakuzingua
 
We nawe, hiyo mimaji kwani veeepeee?
Mwanamke anaolewa na Mwanaume yoyote mwenye kimbelembele cha kumuoa Ila SIO kwamba ndio amempenda, HIO weka akilini mwako itakusaidia wewe elewa hivyo tu SIO kwamba amekubari umuoe ndio amekupenda yeye ana X wake anaempenda na anaejua kumsugua mpaka anarusha Mimaji
 
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
👿👿Mke mkerembeshe, ukimshindwa anakuwa mkemia, kila kitu ana uwezo wa kukitambua, hakuna demokrasia kwenye ndoa, hata adamu aliishi na mke wa pili, kuna aliyeumbwa sambamba nae kwa udongo(mzo 1:27) na yule aliyetolewa ubavuni mwake (Mzo 2:21-22)
 
Back
Top Bottom