Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.

Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
 
Hujamkopesha ,umempa vidonge vyake-Baba/Nabii mkuu kabisa/Muheshimiwa / Mchungaji Gwajima.
 
Umenikumbusha wakati wangu wa ujana nilikuwa nakasirika kwelikweli unakuta unahamu ya kumtomba mwanamke lakini yeye anakwambia nimechoka nataka nipumzike kwanza tufanye baadaye 😆.

Utazoea tu, wakati mwingine kuna kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…